Wadada ambao ndoa bado

Mie huwa nakuadmire sana kwa vile si mnatiki ila signature yako inaonnesha kuna pahala umekwazika. Lakini uloyasema ni sahihi asilimia zote
 
hatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Punguza masharti tufanye yetu. Unakuwa kama yule wa Mil. 500!
(Sijui anajiita Devil au Diva )
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…