Hahaha acha kabisa mkuu, Uzuri siku hio tulipiga nae tungi kwenye bar tuliyojenga Jina so hatukua na wasiwasi hata tungeishiwa tungeleta hela next tym,so mshkaji m1 tuliyekua nae Meza 1 alimbamba huyo demu kwenye korido ya kwenda toilet yuko analamba blueband afu analamba fasta fasta kinoma. Ndo tukajua siri ya mafanikio yake mkuuUlifikwa nini mjomba? Hii kali sijawahi isikia ila umesahau kuwa tumezaliwa tofauti kila mtu ana hila zake!
Vinasaidia kukuta usingizi?Nikiwa doria bby! Ila ntaacha
At least mwanamke inapendeza apige wine hata akilewa kwa kunywa wine bado thamani yake haitapotea maana kuna maneno yanayomtoka mlevi wa wine na kuna maneno yanayomtoka mlevi wa konyagi so maneno ya wine most of the time yanakuwa romantic like darling nimelewa nataka kulala, mwanamke alielewa kwa konyagi ye huwa harsh tu like we boya nimelewa nipeleke hme ama nikuamshie..
ila mademu wa siku hizi wanapiga konyagi!!!Hahaha umenichekesha. Jamani mbona mie nakunywa konyagi nalewa hadi wananibeba, ila ni mstaarabu sana tu. Kwanza nikipiga vyombo naongea kingereza kwa ufasaha zaidi na jicho nyanya.
...na zinawazeesha haraka, 28yrs utadhani 42yrs, mashavu yameshuka, kitambi hicho, macho mekundu..teh! (I'm kidding bhana!)ila mademu wa siku hizi wanapiga konyagi!!!
Hahaha acha kabisa mkuu, Uzuri siku hio tulipiga nae tungi kwenye bar tuliyojenga Jina so hatukua na wasiwasi hata tungeishiwa tungeleta hela next tym,so mshkaji m1 tuliyekua nae Meza 1 alimbamba huyo demu kwenye korido ya kwenda toilet yuko analamba blueband afu analamba fasta fasta kinoma. Ndo tukajua siri ya mafanikio yake mkuu
ila mademu wa siku hizi wanapiga konyagi!!!
...na zinawazeesha haraka, 28yrs utadhani 42yrs, mashavu yameshuka, kitambi hicho, macho mekundu..teh! (I'm kidding bhana!)
Sasa siku hiz wengi unakuta wapo wenyewe ki group cha mademu watatu/wanne wanakula konyagi kubwa mpaka unashtuka!Hehehe si ndio kwenda kisasa? Wameshagundua hailipi kujifanya decent. Mnapiga monde hadi saa tisa alfajiri haooo mnarudi zenu home. Ndege wanaofanana wakiruka pamoja inapendeza sana
Sasa siku hiz wengi unakuta wapo wenyewe ki group cha mademu watatu/wanne wanakula konyagi kubwa mpaka unashtuka!
Mimi Mwanamke Mlevi Nitamgonga Tu Na Kumuacha.
Siwezi Kuwa Na Future Naye.
Kwanza OFA Anaweza Akaenda Kupewa Ofa Huko Na Watu Na Kwa Akili Zake Za Pombe Anaenda Eti Wanajidanganya Kunywa Tu. Mxieeeeeeew! Asipogongwa Siku Iyo Kuna Siku Nyingine Na Nyingine Au Atakuwa Anatengenezewa Mazingira Ya Kuzoeana Sana Na Hao Walevi Wenzake.
Wangapi Wanagongwa Kwa Kunyweshwa Pombe.
Utasikia Mm Ninunulie Redds Tano Tu Unanigonga. There Are Too Many Risks Associated With Women Who Drink Irresponsibly.
Wengine Huanza Kumwaga Radhi Na Kufanya Ujinga Na Kutia Aibu.
Unakuta Huyo Ndo Mama Wa Familia.
Sisemi Kama Pombe Nzuri Kwa Wanaume, NO Zina Madhara Ila Kwa Mwanamke Bi Mara Laki 8
Hahaha asee ni kama wanabugia tu mkuu, hahNever knew...sasa ni analamba au anabugia kikopo kizima ?? Vibweka vingine hivi. Hahaha
Vp kuhusu whisky?? Iz ambazo n expensive cyo konyagi au grants..like henessy,JD, etcAt least mwanamke inapendeza apige wine hata akilewa kwa kunywa wine bado thamani yake haitapotea maana kuna maneno yanayomtoka mlevi wa wine na kuna maneno yanayomtoka mlevi wa konyagi so maneno ya wine most of the time yanakuwa romantic like darling nimelewa nataka kulala, mwanamke alielewa kwa konyagi ye huwa harsh tu like we boya nimelewa nipeleke hme ama nikuamshie..
Mkuu zote hizo zipo kwenye kundi moja la spirits na Makonyagi....bado ni ngumu kwa mama.Vp kuhusu whisky?? Iz ambazo n expensive cyo konyagi au grants..like henessy,JD, etc