Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Duh!!!!,haya bhana.Ukila lazima uliwe
Duh!!!!,haya bhana.Ukila lazima uliwe
Niambizane na nani wakati mimi ni kidume cha mbegu??.Mimi nilishasamehe ila muambizane huko vijiweni kwenu kuwa hakuna cha bure
Unatoaje pesa kabla ya kula mzigo?!
Niambizane na nani wakati mimi ni kidume cha mbegu??.
Kutongoza mbona hata sisi tunafanya......Kazi ipi dada zangu?. Msitongozwe,mtaielewa?
Unatoaje pesa kabla ya kula mzigo?!
Unamwachia mungu yupi kwani? Dah, dunia ya leo ni shida, Mungu na zinaa wapi na wapi!!Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.
Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"
Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.
Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
Mademu wa siku hizi,pasua kichwa kabisa dadaangu. Mwanaume asitegemee kugegeda mzigo bila kumhonga. Na wako serious kabisa na pesa,hawangalii cha sura siku hiziKutongoza mbona hata sisi tunafanya......
Kazi mlio nayo ni hii ya kuhonga ili mpate mnachotaka.....![]()
Hapo kwenye na nyie kutongoza,huwa mnatongozaje? Jaribishia PM nicheck sisKutongoza mbona hata sisi tunafanya......
Kazi mlio nayo ni hii ya kuhonga ili mpate mnachotaka.....![]()
Usijali mkuu.Sorry
Mimi nimezaliwa ndoa takatifu pia bangi kumhonga mamangu huo ndio uanaume na urijali na babangu hawezi loga mwanamke kisa hela au ku force mapenzi, my daddy is not evil as you my dear. Ipo siku utapata mtoto wa kike afanyiwe hvo ku bleed daily kisa elfu kumi yako.Hivi baba yako angeliwa pesa na mama yako halafu asipewe papuchi wewe ungezaliwa? Au kama hataki kwa nini ale pesa za watu? Wanawake msio na akili mnajisababishia matatizo wenyewe.
Hamna shida.Sorry
Hela hazirudishwi ng'oArudishe hela za watu
Kwani lazima ukitoa hela akupe papuchi yake mliandikishiana kisheria juu ya Hilo?Tatizo ni kula hela kwa kutoa ahadi za uongo, kama alikua hataki kutoa nyuchi si angeacha kula hela za watu
Hivi mama yako angefanyiwa bleeding au dada zako binti yako ungefurahi, wanaume msio na hela mna roho mbaya sana
Kwani lazima ukitoa hela akupe papuchi yake mliandikishiana kisheria juu ya Hilo?
Huyo hajatapeliwa kwani alishikiwa bastola amupe hzo hela kwa lazima si ilikuwa kiherehere chake hicho!?