Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

Mimi nilitaka hiyo win win situation nipe nikupe chukua hela toa kitumbua. Sasa kumbe yeye ananiona bwege hadi anasimulia wenzake
Mimi ndio maana huwa staki hela ya mtu maana kupeana hvo mtu si Bora akanunue machangundoa ka huwezi kumpa msaada mpenzi wako Bora kila mtu afanye yake
 
Mpenzi gani hayo nimetoa 80000 sijaona hata rangi ya underwear yake?
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽

Mimi ndio maana huwa staki hela ya mtu maana kupeana hvo mtu si Bora akanunue machangundoa ka huwezi kumpa msaada mpenzi wako Bora kila mtu afanye yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom