Wadada acheni hii kitu

Kwahyo ungempa hela mama kijijin angelala njaa... So sorry for you bro!
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale
Dah!!!,MKUU ulichokifanya sio poa kabisa,kwanini umroge?.Mzigo si ni wa kwake?.
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale
Hivi mama yako angefanyiwa bleeding au dada zako binti yako ungefurahi, wanaume msio na hela mna roho mbaya sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…