Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,389
Si kama nyie mnachakaza papuchi ya wadada wakati hauna mpango nae?Mtu anajua kabisa hakutaki lakini hela yako anakula, wadada huu ni uuaji
Si kama nyie mnachakaza papuchi ya wadada wakati hauna mpango nae?Mtu anajua kabisa hakutaki lakini hela yako anakula, wadada huu ni uuaji
Usijali bado una mda wa kujipanga bwasheheHuyu binti kaniweza
HahahaaNgoja nitafute demu mkali akinishinda nitakupm mkuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mnalipiza?Si kama nyie mnachakaza papuchi ya wadada wakati hauna mpango nae?
NdioKwahiyo mnalipiza?
Mimi mwenyewe sio kwamba nilikuwa na future naye hapana nilitaka kupita tu.Sikia niwaambieni kitu kimoja....ukiona dem hakutaki ujue kuna yafuatayo
1. Huna Promising Future
2. Huna Hela
3. Huna Status (Yani Huna Maisha Flani Hivi Reasonable)
4. Huna Life Efforts (Sema Hii Matunda Significant Yawepo Otherwise Mbunye Hupewi)
U can be very average looking ila if u have any of the four mentioned above hamna dem mkali atakukataa....sema hulka / ulivyo ulivyo ina matter sanaa....a woman must feel safe with you mpaka akukubali.
Hata ukichoma dawa za babu ndio unakoleza penzi sasa. Ila uwe na sifa tajwa hapo juu kwanza tena top of the top usiwe na mambo ya kiswahili / ushamba.![]()
Mimi mwenyewe sio kwamba nilikuwa na future naye hapana nilitaka kupita tu.



Mimi nataka one night stand tu.Kwani alikushikia kisu umpe hela?
mwambie aje geto kuchukua laki.
na akija kavaa pedi yake feki mwambie pedi kila mtu anaweza kuvaa unamuonyesha na wewe umevaa ya mfano.
Unatoaje pesa kabla ya kula mzigo?!
Kaka zangu...kazi mnayo....![]()
Wanaume sisi kuhonga ni kawaida kama sio pesa basi utahonga muda wako. Ujinga wangu uko wapi?Wajinga ndiyo waliwao
Hakuna kitu kama hicho kizazi cha sasaKwa hiyo mzigo ni post paid na siyo pre-paid.
Mabaharia wenzio hela hata ya vocha haitoki kabla hajaliwa mtu, akija ghetto au lodge atanunuliwa chakula akishaliwa ataambulia nauli,akitaka hela unamuuliza kwani umeniuzia utasikia hapana basi kama unashida hela utapewa siku nyingine,BTW nakupongeza kumtumia mama yako hela walau akuombee hilo pepo la kuhonga hovyo likutokeKuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.
Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"
Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.
Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
Kuomba mzigo tu umetumia mwezi na haujapewa na bado umechoka 80k?
Na wakati ungeenda direct na kuntajia bei ya kiananchi angekuja siku hiyo hiyo?
Tatizo Alikuja na gear za kutongoza nataka kujenga familia na wewe ndio Maana anapasuliwa
na ni pisi Kali huwezi kudhania