smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
True kabisa mkuu ,30000 ndiyo bei ya kiananchi tena hapo unampima na kama figure yake na perfomance vinaweza kuwa kiwango ndo anapewa 30000 kikipungua hata kimoja anakula 25000 hadi 20000 anachapa lapa.![]()
Tatizo Alikuja na gear za kutongoza nataka kujenga familia na wewe ndio Maana anapasuliwa
Siku hizi nikiomba number tu akaniambia anaomba hata 5000 namwambia kuna 30000 hapa njoo unipe mzigo tusizinguane sana
Analeta ujeuri Leo kesho unashangaa Anakuulizia upo wapi nije tena anasisitiza hiyo hela niikutena ni pisi Kali huwezi kudhania
Sasa ukijifanya mstaarabu ndio atakua anajificha nyuma kusikilizia maongezi ya Shem zake
Sasa huyu jamaa analeta swagg za ajabu,mtoto wa kiume unasikiliza wadada wakipiga umbeya .
