Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

Kosa ndio lilipo anzia, kabla ujala mzigo toa ela ambayo hata ukiipoteza utoumia sio unajifanya ww ndio unazo, mimi ukiomba tu elfu ela ambayo itaniuma nafuta namba naendelea na maisha
Mkuu upo kama mimi, demu akiniomba pesa sitoi kirahisi nitaanza kuchanganua hivi nikimpa nitakula kweli mzigo badae nikipata jibu basi nitafanya maamuzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hehehe kuna jamaa mmoja best yangu huku kkoo aliniambia mdogo wangu kuwa mjanja....dem mgumu unamuendea kwa babu ana mset kimazingara analainika mwenyewe unakula mzigo unavyo taka ukitosheka una bwaga....nilibisha sana ila amini nawaambieni hizi mambo zipo sana.

Hahahaha

Hujawahi jiuliza kuna wanawake wagumu kweli kweli lakini unakuja kuona ana megwa na mtu wa kawaida tu na jamaa hatoi Cent 2 hata.

Nyapu utagharamia wewe wenzako wanaruka nae bure.

Na hili nimeshuhudia tena kwa Jamaa mmoja hivi alikua marketing officer wa family biz yetu....project yeyote anayoitaka hata dem awaje lazima jamaa amtafune na ananionyesha vidhibitisho kwamba kafanikiwa.

Aaah we acha tu, nikabakigi naumia moyo tu. Hahaha
 
Hehehe kuna jamaa mmoja best yangu huku kkoo aliniambia mdogo wangu kuwa mjanja....dem mgumu unamuendea kwa babu ana mset kimazingara analainika mwenyewe unakula mzigo unavyo taka ukitosheka una bwaga....nilibisha sana ila amini nawaambieni hizi mambo zipo sana.

Hahahaha

Hujawahi jiuliza kuna wanawake wagumu kweli kweli lakini unakuja kuona ana megwa na mtu wa kawaida tu na jamaa hatoi Cent 2 hata.
Ngoja nitafute demu mkali akinishinda nitakupm mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao madem wanakula hela za wanaume kisha wanalala mitini ni mabwege tu ingawa wenyewe wanajifariji kuwa ni wajanja.

Kuna mmoja juzi hapa nimemuita aje gheto tupeane utamu akanambia sina nauli, nikamtumia less than 5000/= (ili hata asipokuja isiniume) hee si hakuja kweli!!!
Aisee nimemdharau yaani hata kumpigia sim nahisi kichefuchefu, anatokomea na shiling elfu tano? Anaenda kufanyia nini kwa mfano?

Kwahiyo mkuu nakushauri achana naye tena na namba yake futa kabisaa maana ni danga hilo ila wewe umechelewa kujua tu, mwanamke mwenye heshima na akili zake timamu hawezi kula pesa ya mwanaume ambaye hampendi hata siku moja maana wana hofu na matokeo.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Sikia niwaambieni kitu kimoja....ukiona dem hakutaki ujue kuna yafuatayo

1. Huna Promising Future
2. Huna Hela
3. Huna Status (Yani Huna Maisha Flani Hivi Reasonable)
4. Huna Life Efforts (Sema Hii Matunda Significant Yawepo Otherwise Mbunye Hupewi)

U can be very average looking ila if u have any of the four mentioned above hamna dem mkali atakukataa....sema hulka / ulivyo ulivyo ina matter sanaa....a woman must feel safe with you mpaka akukubali.

Hata ukichoma dawa za babu ndio unakoleza penzi sasa. Ila uwe na sifa tajwa hapo juu kwanza tena top of the top usiwe na mambo ya kiswahili / ushamba.
 
Kosa ndio lilipo anzia, kabla ujala mzigo toa ela ambayo hata ukiipoteza utoumia sio unajifanya ww ndio unazo, mimi ukiomba tu elfu ela ambayo itaniuma nafuta namba naendelea na maisha
Wewe hutoi zaidi ya buku? Upo mkoa gani?
Unadeal na wasichana wa umri gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom