WaCongo wa kwenye saloon za kike mtatuua...

Thank God i am not a woman lol

Wacongo wa kiume wanaonyoa na kumassage uso!!!!!!!!! Hahahaaaaaaa! Kama nakuona unavowakata jicho la tahadhari wajue kabisaaa hupendi mambo yao!!!!!!!!!! LOL!
 
Yaani mimi naendaga na AIR FRESHER!!!!!!!!! Haswaaaa saluni za Sinza washanizoea!!!!!!!! Nikiona vipi vipi nanyunyuzia kwanza!!!!!!!!! Wateja wanashukurujeeeee!!!!!!!!! ( IT MIGHT BE RUDE BT ITS NECESSARY!!!!!!!!!!!)
 
Kasema nani?

Kupaka hinna si urembo? Kupaka make-up usoni si urembo?

Nisome vyema. Nimeongelea kwanza kuwa ili kuepukana na tatizo tajwa watu warudi kwenye uasili wao kwanza.

Ukiwa natural kwa asilimia 100, utahitaji kwenda salon mwaka kwa vuli, if at all.
Mwalimu,nimekupata...nahisi wewe unapenda mambo ya natural' ila tambua si watu wote wanapenda
muonekano wa natural. Salon ni kama chakula,unaweza kupika mwenyewe na kula nyumbani na pia una
weza kutoka out for lunch or dinner. Hata hivyo unaonekana wewe si mtu wa salon.

Hongera kwa kuchagua kuwa natural...na pia nakukaribisha kwenye dunia ya urembo
 
Haya nimesema hapa before kuwa inategemea unakwenda salon gani.
Sasa mtu unakwenda salon za mwenge na sinza unategemea nini? wash and set yenyewe tsh 3000 au 5000
sasa hapo unategemea nini? any way hata hivyo hongera kwa kuingia kwenye ulimwengu wa urembo Lala1
 
ndo maana natengenezea nywele zangu home....ikishindikana kuna salunimmoja kuna mkaka wa kicongo msafi ile mbaya customer care 101% ndo ananitengeneza uhair.....

Kuna saluni moja nilienda kuretouch..... Nilipata kizunguzungu baada ya kuosha mataulo kama ya kupigia deki ilibidi nigome watoe taulo jipya kabatini....
 
Poleni waenda saloon na mnao osha vichwa vyenu mara moja kwa mwezi, Harufu ya nywere zenu zinachefua watu kwenye daladala, acheni kuwasingizia wakongo kwa uchafu wenu
 
Hao c wacongo ni wana CDM na kunuka vikwapa ni sera yao
 
Wabongo wanawake hawaoshi kila siku, wanakwambie "setting itatoka" ......au wengine weave itapoteza luster and shine

:A S-confused1:

Sasa ndo ukutane na ambaye ana kama week hajaosha kichwa hiyo harufu yake wee acha tu mwanaume tunavumilia mengi?
 
kwani harufu ina mpaka??

Kuegemeza kwenye sink ndio hatari kabisa maana unakuwa usawa wa sarawali.

Au wahudumu wana mikono mirefu kama ngongoti.

kwani mkiwa mwaoshwa nywele vichwa si huwa mwaviegemeza kwenye sink?
naona kama salon uloingia Konnie itakua ya kiswahili sana
 
hivi kope itabandikia nyumbani? Achia mbali kucha na yale macho ya ndani.

Urembo kazi sana, usituone tunang'aa barabarani.

Kasema nani?

Kupaka hinna si urembo? Kupaka make-up usoni si urembo?

Nisome vyema. Nimeongelea kwanza kuwa ili kuepukana na tatizo tajwa watu warudi kwenye uasili wao kwanza.

Ukiwa natural kwa asilimia 100, utahitaji kwenda salon mwaka kwa vuli, if at all.
 
umeonaee?

Sijui Mikki kahamia wapi jamani.

Ndio mtu wa saluni wa kiume msafi nadhani kwa asilimia kubwa sana.

Nimemkumbuka sana leo.

Yaani mimi naendaga na AIR FRESHER!!!!!!!!! Haswaaaa saluni za Sinza washanizoea!!!!!!!! Nikiona vipi vipi nanyunyuzia kwanza!!!!!!!!! Wateja wanashukurujeeeee!!!!!!!!! ( IT MIGHT BE RUDE BT ITS NECESSARY!!!!!!!!!!!)
 
halafu eti kwa nini wanawake tunavua viatu au wanaume wanakuwa wamevaa?huwa naona kinyaa hasa nikiimagine katoka na viatu vyake chooni kakanyaga cjui ini me ndo napekua
 
hivi kope itabandikia nyumbani? Achia mbali kucha na yale macho ya ndani.

Urembo kazi sana, usituone tunang'aa barabarani.

Bi dada, inaonyesha mgeni kwenye masuala ya urembo

Kope, contacts na kucha zinabandikwa home bila ya wasi wasi wowote, sawa na kuvaa viatu tu hasa hapo kwenye kope na contacts- hata dakika 5 haichukuwi.

*Watu wanavaa contacts na kuzivua asubuhi na jioni, kama unavyovaa miwani tu. Halikadhalika kwa kope.
 
Mwalimu,nimekupata...nahisi wewe unapenda mambo ya natural' ila tambua si watu wote wanapenda
muonekano wa natural. Salon ni kama chakula,unaweza kupika mwenyewe na kula nyumbani na pia una
weza kutoka out for lunch or dinner. Hata hivyo unaonekana wewe si mtu wa salon.

Hongera kwa kuchagua kuwa natural...na pia nakukaribisha kwenye dunia ya urembo

Aliyekwambia ukitaka urembo shurti uwe fake (for lack of a better word) ndie aliyekudanganya.

Pia hata ukitaka kujijaza makorombwezo, mengi unaweza kufanya mwenyewe nyumbani ukitaka.

Tuseme hatutaki tu, lakini sio kuwa haiwezekani.
 
Nauliza tu msinitupie mawe, kwa nini watu wanaenda kuoshwa nywele salon ee?

me like you senkyu fo zis uz fu post
ningependa kuchangia ila umemaliza kila kitu kwa swali hili. mtu anaenda kumaliza mchana mzima au siku zote mbili za weekend mume kabaki mwenyewe ndani ukiuliza niko saluni halafu wanalalamika mahouse girl wakipindua pindo. Gaijin hebu wafunze hawa. Manywele ya kutengeneza na kuosha saloon nakukaa wiki moja hujaosha yananuka na ni kero kwa mpenzio. bila aibu jitu linakwenda saluni ya mwanaume yaani nywele yako anaenda kuishika mwanaume mwingine amabaye sio mumeo na kawaida nywele zikishikwa huleta kausingizi fulani hivi then unaegemea kwenye mapaja ya mwanaume asiye mumeo. sijui nisema enewei ngoja niishie hapa
 
Udaku tu ndio unawapeleka kuosha nywele saloon> bibi zenu walipeleka nywele zao saloon? na mbona zilikuwa swaaaafi kabisa.
 
me like you senkyu fo zis uz fu post
ningependa kuchangia ila umemaliza kila kitu kwa swali hili. mtu anaenda kumaliza mchana mzima au siku zote mbili za weekend mume kabaki mwenyewe ndani ukiuliza niko saluni halafu wanalalamika mahouse girl wakipindua pindo. Gaijin hebu wafunze hawa. Manywele ya kutengeneza na kuosha saloon nakukaa wiki moja hujaosha yananuka na ni kero kwa mpenzio. bila aibu jitu linakwenda saluni ya mwanaume yaani nywele yako anaenda kuishika mwanaume mwingine amabaye sio mumeo na kawaida nywele zikishikwa huleta kausingizi fulani hivi then unaegemea kwenye mapaja ya mwanaume asiye mumeo. sijui nisema enewei ngoja niishie hapa

Duh! Mie siendei huko, lakini hili la kukaa wiki nzima hujaosha nywele linanishangaza kwa kweli hasa nikikumbuka joto la Dar

Jengine linalonishangaza ni muda unaotumika huko salon. Huwa kinafanyika nini cha ajabu? Maana nchi nyengine huwekwi kwa masaa hata mawili
 
wee ukishikswa nywele na kusinzia unadhani wote?

Kumbuka, haramu kwako halali kwa wenzio.

me like you senkyu fo zis uz fu post
ningependa kuchangia ila umemaliza kila kitu kwa swali hili. mtu anaenda kumaliza mchana mzima au siku zote mbili za weekend mume kabaki mwenyewe ndani ukiuliza niko saluni halafu wanalalamika mahouse girl wakipindua pindo. Gaijin hebu wafunze hawa. Manywele ya kutengeneza na kuosha saloon nakukaa wiki moja hujaosha yananuka na ni kero kwa mpenzio. bila aibu jitu linakwenda saluni ya mwanaume yaani nywele yako anaenda kuishika mwanaume mwingine amabaye sio mumeo na kawaida nywele zikishikwa huleta kausingizi fulani hivi then unaegemea kwenye mapaja ya mwanaume asiye mumeo. sijui nisema enewei ngoja niishie hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom