Sio nna nywele fupi, para kabisa.....:redfaces:.
Walau wangekuwa na leseni kama nchi za wengine, lakini wa Bongo hata hajasomea, na akikuharibu huna hata pakumshitaki
Si bora nifanye mwenyewe tu hasa ukizingatia kumbe kuna na kero ya watu kunuka uvundo
Ndio muache sasa Kongosho
Mkirudi back to basis, wala hakuna haja ya kwenda salon, wala nini.
Au tutumie mtindo wanaofanya baadhi ya watu, kujikusanya wawili watatu pamoja mwezi mara moja, na kumwita mhudumu wa salon nyumbani.
Hapo utaondoa tatizo la uchafu, maana mhudumu utachagua mwenyewe awe wa aina gani.

Ukioshwa nywele salon ni tofauti na utakavyojiosha wewe mwenyewe ukiwa home'i mean salon utatakata zaidi kuliko nyumbani....na vipi kuhusu treatment na retouch? navyo unaweza jifanyia nyumbani?Nauliza tu msinitupie mawe, kwa nini watu wanaenda kuoshwa nywele salon ee?
Kuna watu walinunua kila kitu cha salon na kujiwekea nyumbani....lakini mwisho wa siku wote wamechemka naNdio muache sasa Kongosho
Mkirudi back to basis, wala hakuna haja ya kwenda salon, wala nini.
Au tutumie mtindo wanaofanya baadhi ya watu, kujikusanya wawili watatu pamoja mwezi mara moja, na kumwita mhudumu wa salon nyumbani.
Hapo utaondoa tatizo la uchafu, maana mhudumu utachagua mwenyewe awe wa aina gani.
Siyo wacongo wote wako hivyo ila ni baadhi tu hasa wanamuziki. Hata hivyo nowdays hata wakaka wa kibongombona wanajiita wazee wa bringbring ama ni mikwala ya kula pesa za mumama ya bongo?
Ukioshwa nywele salon ni tofauti na utakavyojiosha wewe mwenyewe ukiwa home'i mean salon utatakata zaidi kuliko nyumbani....na vipi kuhusu treatment na retouch? navyo unaweza jifanyia nyumbani?
Kuna watu walinunua kila kitu cha salon na kujiwekea nyumbani....lakini mwisho wa siku wote wamechemka na
wanakwenda kuhudumiwa tena na mastaff wa salon. Usicheze na kitu kuhudumiwa
Sasa nimekupata'kumbe wewe unaongelea uzuri na mimi naongelea urembo.Sijawahi kuweka kemikali katika kichwa changu, kwa hiyo mambo ya ku-retouch sijui kama unaweza kufanya home au la. Ila treatment za natural products, naweza sana kufanya nyumbani bila ya shaka yoyote.
Pia sijui hizo nywele ni chafu kiasi gani, hata salon zitakate zaidi. Lakini naamini ukiwa unaosha nywele kila siku au siku mbili hadi tatu mara moja, nywele zhazitakuwa chafu kiasi cha kulazima upate mhudumu wa kukuosha.
Hivi unaweza kujishonea weaving nyumbani?Watu na watu.
Ninawajua ambao hawana hata vifaa nusu vya salon, na wanajihudumia nyumbani.
Sasa nimekupata'kumbe wewe unaongelea uzuri na mimi naongelea urembo.
Uzuri unazaliwanao na unaweza kuuongezea hata ukiwa nyumbani....ila urembo
na kuwa mrembo vinapatikana kwenye beauty studio
Hivi unaweza kujishonea weaving nyumbani?