Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
jamani, kwa nyie mnaomiliki saloon za kike afu mnaajiri wacongo, hebu wafunzeni basi kuosha sarawali zao zote?!
Baadhi yao yaani full mtindi, utadhani ng'ombe ananyonyesha maziwa ya mgando.
mtu unaoshwa nywele unabana pumzi hadi basi.
Hata baadhi ya akina dada wapewe deodorant.
Nimeileta mmu makusudi maana inahusu mahusiano ya mteja, mfanyakazi na mwajiri.
Tusaidieni wateja wenu. . .