WaCongo wa kwenye saloon za kike mtatuua...

WaCongo wa kwenye saloon za kike mtatuua...

kwa hiyo turudi maisha ya enzi za bibi zetu??

Nyie mnaishi maisha ya enzi za babu zenu?? Walikuwa wanaenda bar kushabikia Livapul?

Udaku tu ndio unawapeleka kuosha nywele saloon> bibi zenu walipeleka nywele zao saloon? na mbona zilikuwa swaaaafi kabisa.
 
tena sio masaa mawili, naweza kaa masaa 8-12 kama nasuka sangita au pony hair.

Hizo za kuosha nywele, manicure, pedicure, waxing mwili wote naweza kaa masaa matatu.

Sasa ukikuta ni saluni pendwa maana wateja ni wengi kunakuwa na foleni.

Duh! Mie siendei huko, lakini hili la kukaa wiki nzima hujaosha nywele linanishangaza kwa kweli hasa nikikumbuka joto la Dar

Jengine linalonishangaza ni muda unaotumika huko salon. Huwa kinafanyika nini cha ajabu? Maana nchi nyengine huwekwi kwa masaa hata mawili
 
tena sio masaa mawili, naweza kaa masaa 8-12 kama nasuka sangita au pony hair.

Hizo za kuosha nywele, manicure, pedicure, waxing mwili wote naweza kaa masaa matatu.

Sasa ukikuta ni saluni pendwa maana wateja ni wengi kunakuwa na foleni.

Poleni sana
 
Jamani hata contacts mnakwenda saloon. Sasa kama sie tunaovaa daily za kuonea inakuwaje? nahisi mambo mengi unaweza jifanyia mwenyewe ukiwa na nia.....kama mimi saloon ndo nimesahau kabisa!
 
Poleni sana....kwa kweli mna roho ya kusubiri muda wote huo.
 
tumethubutu kwenda saloon, tumeweza na tunasonga mbele.

Hata huendi daily lakini mara moja kwa mwezi unaweza kuwa unaenda?

Au wewe ni saloon free zone kama zilivyo paperless offices?

Bora usahau....salon gharama! labda uende salon za uswazi
 
tumethubutu kwenda saloon, tumeweza na tunasonga mbele.

Hata huendi daily lakini mara moja kwa mwezi unaweza kuwa unaenda?

Au wewe ni saloon free zone kama zilivyo paperless offices?

Wape darasa la ukweli hawa! kwa mwanamke anaejipenda hasa salon akosekani hata kwa mwezi mara moja
 
Binafsi nafikiri kuna vitu 3 ambavyo vinaweza kumfanya mtu asipende kwenda salon

(1) imani ya dini, hasa waislaam
(2)Umri mdogo, hasa walewadada ambao bado wako undercontrol ya wazazi.
(3) Na mwisho ni ubahili wa pesa

Hiyo namba 3 ndiyoimebeba watu wengi sana....maana salon ni gharama
 
Ngoja nikujibu, hiyo # 1 inanihusu lakini haimaanishi kuwa waislam hawaendi saloon. Na sio ubakhili, mimi mwanamke mjanja ni yule anayeweza kujiremba mwenyewe jamani manicure, pedicure, lenses, makeup, sijui makucha na hata waxing ni vitu ambavyo viko dukani its DIY ukiwa unataka. Miaka ya nyuma nilipoteza sana pesa zangu saloon na muda mwingi waiting, nilipotia nia ya kujifunza yale ya saloon mbona mambo easy. Saa nyingi unaenda saloon unashangaa kitu gani siwezi kufanya mwenyewe halafu service matatizo. Ninachosema si ubakhili maaana vyote hivyo vitu vinacost pesa lol

Mambo ambayo nimekutana nayo saloon ambayo ni unhygiene ni mengi...sasa ukifanya facial huyo mtu wa saloon anakuwekea uso wake karibu wengine wana bad breath ya ajabu, mataulo, vitana, vile vimikasi ya manicure hujui visafishwa kiaina gani. wakati wa shida ya maji saloon unaoshwa nywele hata dawa haitoki vizuri, nywele zinaishia kukatika.

Kitu naweza kukubaliana ni kuwa si mtu wa nywele za kubandika ndo maana zisijui sangita wala hazitaniona lol na hayo maweave nayaona tu kwa kina dada. Kongosho, unataka kujua makatasi nayafanyia nini, huwa yanaenda spa kwa ajili ya massage and on rare occasion labda setting za nywele.
 
madame , kwani spa na saloon tofauti ni nini? Majina? Wafanyakazi? Hadhi?

Mle mle, ni huduma zinazohusiana na hayo.

Tena hii ndio hatari zaidi kama hapako sawa, maana navyojua huwezi fanya massage na nguo, inabidi uzitoe.

Na hata hizo mara chache unaposet nywele unatumia huduma za waoshaji na wasetiaji.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom