Wachungaji/wahubiri feki

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Habari wana JF, utitiri wa makanisa kila kukicha unatisha, Leo hii kanisa linageuzwa ni eneo la uwekezaji sijui ndo ugumu wa maisha au Ujanja wa mjini.
Wenye kuweza tazameni hii video ya ushuhuda wa wachungaji feki, wajanja wajanja a.k.a watoto wa mujini. Binafsi haya makanisa yanayoibuka kama uyoga sina imani nayo kabisa, Maskini waumini mnadanganywa na kuamini. Kwa kifupi mnaibiwa.

<a href="http://youtu.be/EdYL-IxjXfU" target="_blank">

Last edited by a moderator:
ilitabiriwa kuwa siku za mwisho kutakuwa na manabii wengi wa uongo, ukiangalia siku hizi kwenye makanisa mengi neno kuu ni miujiza, uponyaji, na utoaji, mjalibu mungu wako kwa kutoa utaona maajabu yake, huku wana "homola"
tuamuke jamani, hizi atm hatari sana
 
Maisha ni magumu kwa sisi raia na wahubiri pia.....popote tunakimbilia
 
Habari wana JF, utitiri wa makanisa kila kukicha unatisha, Leo hii kanisa linageuzwa ni eneo la uwekezaji sijui ndo ugumu wa maisha au Ujanja wa mjini.
Wenye kuweza tazameni hii video ya ushuhuda wa wachungaji feki, wajanja wajanja a.k.a watoto wa mujini. Binafsi haya makanisa yanayoibuka kama uyoga sina imani nayo kabisa, Maskini waumini mnadanganywa na kuamini. Kwa kifupi mnaibiwa.

Hivi bado kuna watu wanaoamini miujiza? Fungukeni macho hii ni karne ya 21. Nani alishawahi kuona mlemavu anatembea? Nani alishawahi kuona mfu anafufuliwa? Watu wengi utasikia eti kafanikiwa kibiashara na mambo mengine ambayo watu hawawezi kuthibitisha. Chunguza sana watu wanaodai kwamba wana mapepo utaona wanapojiangusha wanakuwa makini sana wasibaki uchi au kujigonga sehemu. Tafakari!!!!
 
Back
Top Bottom