Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,516
- 6,919
Siri za wagonjwa na daktari wewe umezijuaje? Au wewe unaalikwa kama msikilizaji kwenye hizo huduma? Elezea tena kidogo tukuelewe vizuri.
Mganga wa kienyeji kwani anafanya kazi ya siri??Siri za wagonjwa na daktari wewe umezijuaje? Au wewe unaalikwa kama msikilizaji kwenye hizo huduma? Elezea tena kidogo tukuelewe vizuri.
Na ile albadir nayo si ushirikina ule?Huyo ni tapeli kama ambayo walokole wanatapeliwa na mitume na manabii wa kileo.
Katika uislam kuwa mganga wa kienyeji ni ushirikina ambao unamtoa mtu katika uislam kama anatumia majini,uchawi na n.k maana ili iwe uislam ni lazma kujitenga na ushirikina na washirikina.
Lakini hao majin makanisani ndio wamejaa na ndio mtaji wao wa manabii wakileo wenyewe wakiyaita mapepo. Sijui unanielewa
Na ile albadir nayo si ushirikina ule?
Kwa hyo wote unataka tuwe waislam? Sheikh kipozeoUkristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Kwa hyo wote unataka tuwe waislam? Sheikh kipozeo
Haa haaa ila wapo hata wanawake wanapitia hizi Mme mapooza na anavumiliwaYaani katika vitu ninavyopiga vita sana basi ni hii tabia ya kubaniwa kis€nge s€nge, ukizidisha spidi kidogo malalamiko, nauchukia huu upuuzi ki s€nge
Hiyo dini ya haki mkuuHapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...
Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...
Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo
Kuna mtu aliniambiaga hadi adhana yao ni tofauti... huwa natamani kujua what they really think.Darsa lake refu, ki nje wanadai wao waislam ila kiundani ukiingia kwenye dini wao wanatoka tena kwa makusudi, utakuaje muumini wa itikadi alafu umtusi kiongozi wako. Hao akina aga kani ni mashia ndio
Sasa unasubiri nini mkuu?si uokoke tu kabisa ili uepuke hivyo vi maswali vinavyokukera!okoka bhana,wakati uliopo ni sasa,usipoteze muda...Yaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.
Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.
Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.
Tunaoana huko baadaye mambo yanabadilika, ukiwa mdogo ni tofauti ukiwa mkubwa nakukupa yanaongezekaHuyo mwanamke alikosea kuolewa na mtu asiye mshirika mwenzake.
Kuna mtu aliniambiaga hadi adhana yao ni tofauti... huwa natamani kujua what they really think.
Yaani jitu linataka mt#mbane kama wazee wa miaka 90 huko khaaaHaa haaa ila wapo hata wanawake wanapitia hizi Mme mapooza na anavumiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmm ngoja nitulie wewe endelea tu[emoji10][emoji10][emoji10]Yaani jitu linataka mt#mbane kama wazee wa miaka 90 huko khaaa
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
hahaha we vp banah wwUnaamini uwepo wa Mungu?
HahaKuna bint nataka kumuoa alinipeleka kanisani kwao duh!
Acha ujinga kwenye thread za wenzako mpuuzi wewe utakatifu wa katoliki upo kwenye nini?Nasadiki kwa kanisa moja, Takatifu katoliki la mitume.
Naungama na ubatizo mmoja wa amaondoleo ya dhambi, nangojea ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo...
huku kwingine kunachoshaga maswali jamani