Wachumi tusaidieni...

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Taarifa tofauti tofauti zinatolewa kuhusu mwelekeo wa uchumi wa nchi yetu. Gavana alitoa kuwa uchumi uko kwenye hali nzuri, wakati waziri wa fedha anaonyesha hali tofauti, lakini tukilinganisha na hali halisi inatofautiana na maelezo ya serikali. Wito wangu tunao wataalamu wengi sana humu jamvini kama madaktari, wachumi, enjinia n.k. Wachumi tupatien fomular au mtusaidie kukokotoa kujua inflation rate na hali halisi ya uchumi wetu, naona tuanze kuendesha serikali na sisi pembeni huku coz iliyoko madarakani iko likizo ili itoe data mpaka iamshwe na hata ikitoa zimechakachuliwa. Naomba msaada wanajamvi.
 
Back
Top Bottom