Wachumi naomba msaada kuhusu analysis ya mzee Dewji juu ya deni la Taifa

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Nataka kufanya Analysis ya mzee Dewji alivyokuwa anaongea kuhusu deni letu la Taifa in comparison to USA jana wakati wa kongamano la dini pale Dodoma. Akasema USA inadaiwa mara 2o ya deni letu so nothing should alarm and if need be tukope zaidi. I know there is relation between debt - ratio to GDP hence difficult to compare the countries in this aspect.

Question - What is threshold in terms of percentage between DEBT versus GDP
 
Usishangae kuhusu yeye kutoogopa madeni maana hata mtoto wao Mo Dewji ndie mfanyabiashara mwenye mikopo mkubwa kuliko wote Tz na hii aliseme MO mwenyewe.Alikopa $260mil yaani zaidi Bil. 500 za Tz kutoka 'consortium bank'.

So kwao mikopo sio inshu wanajua watakavyodeal navyo,ila mikopo kwa level nchi hapo ngoja waje wajuvi kushusha nondo.
 
Wao wana Strong Currency ambayo ndo world reserve, Hahaaaa tusijilinganishe na Marekani kwa sababu hata majimbo yake yote hakuna tunalo lifikia kwa Uchumi na jua uchumi wa jimbo la Calfornia au GDP yake ni kubwa kulilo GDP ya nchi zote za Africa combined, hilo ni jimbo moja bado Texas bado New york na kadhalla
 
USA hata wasipofanya kazi bado wana uwezo wa kuishi miaka mia kwa raha mustarehe simply because they export paper money to the World.. USD is the most precious commodity demanded by the whole World.
USA ikiamua kulipa madeni yake yote inayodaiwa Duniani, inaweza kuyalipa ndani ya usiku mmoja.
Hakuna nchi nyingine Duniani yenye uwezo huu.
 
Eti kumlinganisha matumla na mayweather au ni sawa na kumlinganisha Dullah mbabe na tyson
Tuwasubirie wachumi!
Katika mazingira ya kawaida, NORMAL, tunaweza kujilinganisha na U.S.??

Ni sawa na kumlinganisha Matumla na Mayweather! Au Simba na ManU.

Tujilinganishe japo na jirani Kenya au Rwanda.

Everyday is Saturday............................ :cool:
 
Mkuu kama alikopa bil 500 na utajiri wake jumla ni milioni ngapi?Ina maana wakija kumdai hyo pesa kwa nguvu atabakiwa na nini?
Usishangae kuhusu yeye kutoogopa madeni maana hata mtoto wao Mo Dewji ndie mfanyabiashara mwenye mikopo mkubwa kuliko wote Tz na hii aliseme MO mwenyewe.Alikopa $260mil yaani zaidi Bil. 500 za Tz kutoka 'consortium bank'.

So kwao mikopo sio inshu wanajua watakavyodeal navyo,ila mikopo kwa level nchi hapo ngoja waje wajuvi kushusha nondo.
 
Tuwasubirie wachumi!
Katika mazingira ya kawaida, NORMAL, tunaweza kujilinganisha na U.S.??

Ni sawa na kumlinganisha Matumla na Mayweather! Au Simba na ManU.

Tujilinganishe japo na jirani Kenya au Rwanda.

Everyday is Saturday............................ :cool:
Ni sawa kulinganisha mtu mwenye kipato cha laki nane kwa mwezi awe na deni la milion 10 useme ana afadhali kuliko mwenye deni la milioni mia wakati ana kipato cha milion 30 kwa mwezi.
 
USA hata wasipofanya kazi bado wana uwezo wa kuishi miaka mia kwa raha mustarehe simply because they export paper money to the World.. USD is the most precious commodity demanded by the whole World.
USA ikiamua kulipa madeni yake yote inayodaiwa Duniani, inaweza kuyalipa ndani ya usiku mmoja.
Hakuna nchi nyingine Duniani yenye uwezo huu.
Unajisikia sifa kuandika uongo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Usijidanganye, they can't survive even 5 years spending what they served, hakuna uchumi wa hivyo.
 
America makes money in three major ways.
1. Selling goods n services to the World, hence collecting taxes,
2. Printing money n spend it.,
3. Selling USD to the World at high price and buying the same at lower prices hence to make margins.
Kati ya options hizo tatu utaona ni option ya kwanza pekee inayoinvolve watu kuamka na kwenda kufanya kazi...

Unajisikia sifa kuandika uongo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
America makes money in three major ways.
1. Selling goods n services to the World, hence collecting taxes,
2. Printing money n spend it.,
3. Selling USD to the World at high price and buying the same at lower prices hence to make margins.
Kati ya options hizo tatu utaona ni option ya kwanza pekee inayoinvolve watu kuamka na kwenda kufanya kazi...
Umeelewa nilichoandika? Unaamini kuwa Kuna nchi inaweza kujimudu miaka mitano bila kuzalisha ( kufanya kazi?)
 
Back
Top Bottom