Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
hata cha dislike nacho hakionekani wangu
Sijui wana mpango gani sasaa,
hata cha dislike nacho hakionekani wangu
Irudishe dukani wakuwekee...
Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
Ana moyo kwa jina hilo!!Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
matunda yapo tatizo umepata tunda la aina gani mwana hapo ndo tabu.
Sijui wana mpango gani sasaa,
Leo hakuna like wala dislike
Bora warudishe thanks!
Haiwezekani! itakuwa ya kichina hiyo ungeikagua vizuri
Ana moyo kwa jina hilo!!
Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
Mahusiano ni yale yale kilichobadilikani kijiwe tu cha kukutania...