Wachumba wa mitandaoni.

Wachumba wa mitandaoni.

Mtandao unasaidia tunaosha rungu kiurahisi sio km zamani.
 
Umesema kweli mkuu,wapenzi wa mitandaoni hawatoki mars!
 
wapo vizuri mkuu, mi nshafumua kadhaa na wawili nipo nao hadi sasa, hawana mambo ya kuzungushana kama hawa wa mtaani
 
Jamani Wachumba wamitandaoni kwa kweli sina uhakikanao, mimi yaliyonikuta sio madogo ndugu zangu, wengi hawafai, unaweza kuingia mkenge ukajutia maishani, watu wana tabia na malengo mbalimbali, kuna washirikina, wachawi, majambazi, malaya nk. unajua mchumba kuna uwezekano akaja kuwa mke au mume wako sasa ni bora ukawa makini, wanawake siku hizi wananyunyiza (kupuliza) kwa sana coz wote wanapenda kuolewa. So take care guys.

Mh!,pole sana aisee!
 
Mahusiano ya mtandaon n mazur tu,it depend maelewano n makubaliano yenu then maisha yanaendlea as usually!
 
Back
Top Bottom