tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Jan 22, 2014 #1 Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 22, 2014 #2 watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani.
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,328 Jan 22, 2014 #3 Husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU
Husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Jan 22, 2014 #4 Money Stunna said: Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU Click to expand... hahahaha! Wanaishi wapi? Nilikuwa napita zangu umensimamisha! Haha! Dah!
Money Stunna said: Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU Click to expand... hahahaha! Wanaishi wapi? Nilikuwa napita zangu umensimamisha! Haha! Dah!
Kimey JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 4,117 Reaction score 833 Jan 22, 2014 #5 Husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... Bora umwambia sijui ye anawaza vp? anajua wa huku wanasura tofauti
Husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... Bora umwambia sijui ye anawaza vp? anajua wa huku wanasura tofauti
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Jan 22, 2014 #6 Mahusiano ya mahali popote yanategemea na wahusika wenyewe. Hata mkae nyumba moja yanaweza yasidumu vilevile
Mahusiano ya mahali popote yanategemea na wahusika wenyewe. Hata mkae nyumba moja yanaweza yasidumu vilevile
mountain JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 757 Reaction score 311 Jan 22, 2014 #7 matunda yapo tatizo umepata tunda la aina gani mwana hapo ndo tabu.
mountain JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 757 Reaction score 311 Jan 22, 2014 #8 Comi said: Mahusiano ya mahali popote yanategemea na wahusika wenyewe. Hata mkae nyumba moja yanaweza yasidumu vilevile Click to expand... well said mkuu
Comi said: Mahusiano ya mahali popote yanategemea na wahusika wenyewe. Hata mkae nyumba moja yanaweza yasidumu vilevile Click to expand... well said mkuu
Roho Mbaya JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 777 Reaction score 677 Jan 22, 2014 #9 Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 22, 2014 #10 husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... kuna zawadi yako uje kuchukua kwa majibu yako mazuri uliyotoa
husninyo said: watu wa mtandaoni ndio hao hao wa mtaani. Click to expand... kuna zawadi yako uje kuchukua kwa majibu yako mazuri uliyotoa
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 22, 2014 #11 roho mbaya said: mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... unasema kweli?
roho mbaya said: mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... unasema kweli?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Jan 22, 2014 #12 Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii???au ndio wanataka kuweka cha dislikee
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 22, 2014 #13 Roho Mbaya said: Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... mhhhhhhhh bikra hiii tunayoijua?
Roho Mbaya said: Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... mhhhhhhhh bikra hiii tunayoijua?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,268 Reaction score 108,260 Jan 22, 2014 #14 Mahusiano ni yale yale kilichobadilikani kijiwe tu cha kukutania...
B binti kilu Member Joined Jan 9, 2014 Posts 6 Reaction score 2 Jan 22, 2014 #15 Ahahahaha duuh ckutegemea hili jibu
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 22, 2014 #16 6 out of 10 ndoa za marekani wamepatana na kuonana mtandaoni(social networks)
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Jan 22, 2014 #17 Dinazarde said: Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii???au ndio wanataka kuweka cha dislikee Click to expand... hata cha dislike nacho hakionekani wangu
Dinazarde said: Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii???au ndio wanataka kuweka cha dislikee Click to expand... hata cha dislike nacho hakionekani wangu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,268 Reaction score 108,260 Jan 22, 2014 #18 Dinazarde said: Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii??? Click to expand... Irudishe dukani wakuwekee...
Dinazarde said: Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii??? Click to expand... Irudishe dukani wakuwekee...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,364 Reaction score 118,743 Jan 22, 2014 #19 Hapa sitii neno!!!!
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,081 Jan 22, 2014 #20 Roho Mbaya said: Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... asante!
Roho Mbaya said: Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra Click to expand... asante!