Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k

Huko Halimashauri utasugua viatu mpaka uchoke maana kuna usumbufu balaa na rushwa ndiyo usiseme kabisaaaaaa!!!!
 
Na ili upate kibali toka Manispaa unatakiwa uwe na michoro iliyopitishwa na Manispaa.. Na ili Manispaa wapitishe michoro, wanahitaji michoro yenye mihuri ya firms ambazo mchoro umechorwa huko.

Hapa ndipo zinapoanzia rushwa,
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k.
Hawajali mshahara au kipato chako.
Wanaangalia thamani ya nyumba tarajiwa. Kama itakuwa ya million 30, hawaoni kwa nini usilipe hiyo hela. Wanasahau kuwa inaweza kukuchua hadi miaka 15 kukamikisha nyumba.
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k.
Ukishindwa kulipa 600_000 ya ramani bora uache kujenga hutaweza
 
This is Africa, exorbitant fees for everything. 😂😂 Uwezo wako wa kuchapa maneno ndiyo unakuokoa!
 
Hizo ni fani za watu na wanasomea miaka mitano mkuu. Kama hutaki chora mwenyewe.
Achore mwenyewe, yaan watu wanadharau sana fani za watu....
Yupo tayar kumlipa fundi anayejenga zaidi 2.5m ila hataki kumlipa mchoraji hata laki 3
 
Huyu jamaa ni kanjanja.. hata ma QS mwaka wa kwanza na wa pili wanasoma engineerind mechanics na design of structures... architect ndo ashindwe...
Umeongea upumbavu Sana ,Kama Kuna mabosi zako wanajua ID yako lazima watakua na mashaka na wewe ,na Mimi nakataa wewe sio civil engineer ila unaweza ukawa formen tu kwenye site Fulani.
Nani aliyekudanga architect hajui load analysis,Eti naweza kuchora cantilever then ikafeli ,hivi unadhani maarchitect tunachora tu Kama tunabahatisha ?? Au unadhani miaka mitano tunayokomaa hatuelewi chochote kuhusu structure??

Hakuna achitect ambaye hajasoma structure Tena mwaka wa Kwanza Hadi wanne na nitakadesign may slab au cantilever yenye span kubwa bila support ujue nimeshacalculate , engineer unapofeli kwenye construction nitakachofanya ni kukutimu tu site nikiwa Kama bosi wako kwenye ujenzi.

Halafu kingine usidanganye watu eti unaweza kudesign na kuandaa michoro ya architect wakati wewe Ni engineer ,huo ni uongo kujifunza archiCad juu usijidanganye ushakua architect wakati watu wanaumia miaka mitano darasani.

Tupo na mainjinia wakubwa tu ila hawaongeo upupu Kama wako
 
Yaah ni kweli architecture wanasoma structure ndio maana structural engineer anaweza kuwa aliyesoma architecture au civil engineering japokuwa sio kweli architect ni boss wa civil engineer hii nakataaa mi site zote nilizowahi kufanya kazi hakuna architect yoyote ambae amewahi kuwa boss wangu coz project ni ya client na client ndio boss
Client ni owner hajui lolote kuhusu ujenzi.tukija kwenye building industry ,ujenzi wowote ule Architect ndio bosi wa proffesionals wote kwenye ujenzi.
 
Na mimi naomba msaada...nina kiwanja changu kipo Mbezi mwisho kina ukubwa wa 20 urefu na upana 26 je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani na gharama yake je kwa nyumba ya kawaida tu sio ya kifahari...maisha yenyewe ya kawaida so nyumba ambayo inasadifu hali halisi ya maisha
 
Hahahah mkuu taratibu. Hapo engineer taarabu mzee. Hii maana yake mshahara wangu wote nikukabidhi mwezi huu. Msione tuko JF wngine sisi kapuku tu
Ngoja nimtafute yule jamaa anaturushaga roho na maisha yake ya gharama, mzee wa ma ford ranger na BMW aje akusaidie fedha kuna uzi alisema yupo Brazil sijui atakuwa amerudi?
 
Ficha upumbavu wako wewe,acha kujidhalilisha ,mimi Ni architect Registered nafanya hizi kazi mwaka wa 7 huu.nani alikudanganya Engineer anaweza hata kugusa mchoro wa architect.eti muundo wote wa jengo ni kazi ya engineer ,Yani huelewi kazi ya engineer kwenye ujenzi ngoja nikusaidie kukupa shule kidogo
Architect ndio team leader kwenye ujenzi yeye ndio anadesign na anaandaa michoro yote ya jengo (architectural drawings) than kazi ya engineer Ni kudesign structure bila kuathiri design ya architect hata kidogo..

Architect anaweza kukataa michoro ya engineer Kama inaathiri design ya jengo lakini engineer hawezi kubadili design yamchoro wa architect hata kidogo
Una maanisha nini ukisema structure ya jengo anafanya engineer wewe ukichora ramani huwa hujui structure yake?
 
1. Pale karume, wapo wana wanauza ramani mpaka 15,000.. you might as well try that..

2. Lers say umepata ramani kwa 15,000.. hio nyumba utajengewa bure, au kwa staili hii ya kupenda cheap cheap services? Unajenga nyumba worth 60m or more, ila 600,000 ya mchoraji inakupa trouble?

3. Sometimes wachoraji hawapendi kutoa ramani moja kwa watu zaidi ya mmoja, ndo maana ukitaka ramani ana take trouble to design from scratch kulingana na mapendekezo yako.. akikuambia bei ni 600,000 maana yake anachukua muda wake kukuchorea kitu roho inapenda, printing, aigonge mhuri and the like.. sasa nyie mnaopenda kujenga nyumba zinafanana fanana, zile za karume zinakuhusu..
Karume sehemu gani bro tukawafate hao jamaa
 
Tutumieni wataalam kwenye ujenzi, ukitoka Kwa architect, unaenda Kwa Land surveyor, halafu unaenda civil engineer, halafu unamalizia Kwa mkadiaji majenzi
 
wabongo tuna shida sana hizo ramani mnazotaka mtu akuchoree kwa bei rahisi kumbuka huyo mchoraji kasoma kozi ya miaka 4 na anarudia mitihani.
zen ww unaenda jenga nyumba ya mil 30 kutoa 300k unaona shida?
ile ni kazi ya mtu anapoteza mda wake kwa ajili ya kukuchorea kitu kizuri na kukiweka ktk mpangilio mzuri.
acheni ubahiri wadau.
mkiona rahisi chora mwenyewe.
 
Back
Top Bottom