Naelewa na nime-appreciate kuwa hii ni fani ila kama msomi unashindwa hata kusoma mazingira ya biashara basi hio miaka mitano ungelima hata bange ingekulipaHizo ni fani za watu na wanasomea miaka mitano mkuu. Kama hutaki chora mwenyewe.
Niambie aina ya nyumba unayotaka kujenga. Unataka ghorofa au nyumba ya chini? Kiwanja chako kina ukubwa gani?Bure Hapana mkuu. Nataka mtu mwenye reasonable price. Hii ya kutajiana bei kama nataka kujenga mansion ni ufara kabisa
Nimefikiria hivo pia. Mana hawa jamaa hawana utashi wa kujiongeza. Mimi wakati naanza kufanya hizi shughuli zangu nilikuwa napewa hata ishu ya 100,000. Nikiwa home nimepumzika naifanya napata hela ya vocha.Mtaani Utapata Nyingi Sana
Wakati Mwingine Fundi Utakayempata Anaweza Kukupatia Ushauri Mzuri Kuhusu Nyumba Uitajayo
Kupewa Utapewa Maana Ramani Nyingi Sana
Nitake radhi mkuu. Ghorofa nipeleke wapi?. Kiwanja 20x20 nyumba ya vyumba vitatu atleast kimoja master, sebure jiko and the like.Niambie aina ya nyumba unayotaka kujenga. Unataka ghorofa au nyumba ya chini? Kiwanja chako kina ukubwa gani?
Poa. Nakuchek inbox... Ukipenda unaweza kunitumia hata elfu hamsini ya soda. Ila sitakuchaji...Nitake radhi mkuu. Ghorofa nipeleke wapi?. Kiwanja 20x20 nyumba ya vyumba vitatu atleast kimoja master, sebure jiko and the like.
Mimi ni msanii mkuu. Mimi nataka ramani hizo habari za Manispaa sizielewi na sifanyagi kabisa.Waulize hizo gharama zinahusisha na mihuri toka kwa Architectural firms ambazo ziko registered na AQRB..? Kama jibu ni ndio basi price uliopewa ndo ya mtaani hiyo.. Ukumbuke kujenga siku hizi unatakiwa uwe na kibali toka Manispaa.. Na ili upate kibali toka Manispaa unatakiwa uwe na michoro iliyopitishwa na Manispaa.. Na ili Manispaa wapitishe michoro, wanahitaji michoro yenye mihuri ya firms ambazo mchoro umechorwa huko..
Hizo blah blah zoote hazijustify gharama ya Tshs 350kWaulize hizo gharama zinahusisha na mihuri toka kwa Architectural firms ambazo ziko registered na AQRB..? Kama jibu ni ndio basi price uliopewa ndo ya mtaani hiyo.. Ukumbuke kujenga siku hizi unatakiwa uwe na kibali toka Manispaa.. Na ili upate kibali toka Manispaa unatakiwa uwe na michoro iliyopitishwa na Manispaa.. Na ili Manispaa wapitishe michoro, wanahitaji michoro yenye mihuri ya firms ambazo mchoro umechorwa huko..
600,000 ramani? Aisee sio mimi mkuu. Never sifanyi huo ulofaDuuh hiyo ni ramani ya architecture bado kuna structural drawings, resonable price njoo nikupatie zote mbili kwa laki 6, architect nampa 3 na engineer analamba 3,
Kwanini bei inakuwa juu?wengi wanaochora mtaani hawana ofisi wala mihuri, hivyo lazima wakienda kugonga mihuri kwenye ramani waache 100,000 - 200,000, na kwa architects na wahandisi wanaojitambua lazima wakague kwanza kazi kabla hawajagonga