ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Fight apartheid right where u are .....by Peter Tosh
hata wakisema hivyo kwani ni kweliii...!!!?Ungesoma kwenye hiyo link ungegundua mengi zaidi! Eti mtu mweusi aliingizwa kwenye mashine ya kufulia na baada ya kufuliwa akatoka akiwa mu asia(mweupe) hiyo ina maana kuwa weusi wetu ni uchafu! Na mpumbavu wa lumumba anashangilia tu!pumbavu kabisa.
wanatuogopa ndio maana wanajaribu kutuaminisha sisi tupo chini.Hakuna Kama mwafrica, Najivunia kuwa black.