Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,999
- 4,591
Mfanyabiashara mchina ambaye amekuwa akifanya biashara zake Afrika na Uchina, ameweka picha kwenye jumba la makumbusho huko Uchina katika jimbo la Hubei.
Kwa hivi sasa hizo picha zimeondolewa kutokana na malalamiko yaliyo letwa na wanafunzi wa kiafrika wanaosoma huko Uchina. Lakini mfanyabishara huyo bado anasisitiza kama haoni shida yoyote kutokana na wao Wachina wana abudu wanyama ndio maana miaka yao inatabuliwa kutokana na majina kumi na mbili ya wanyana ikiwemo mbwa, nyani, mbuzi, nyoka, panya, farasi ...nk.
Chanzo: kwa lugha la kingereza.
Africans in China are furious with a museum exhibit comparing Africans to animals