Wachina wacharanga Watanzania mapanga ndani ya Tanzania

Comment kwenye huu zimeniburudisha. Kuna mtu alisema humu kwenye jukwaa hili kwamba urafiki wa wachina na watanzania ni wa zamani sana.
 
Hapo ingekuwa kenya hao wachina wasingekamatwa,matokeo yake serikali ya kenya ingeandika tangazo la kuwafukuza wachina waliohusika warudi kwao
Sasa hilo tangazo wasipo liona na kulisoma basi hakuna kuondoka!
 
Halafu mbaya zaidi, walisaidiana na Watanzania wengine kukatakata wenzao kwa mapanga, ama kwa kweli Watanzania mumekua aibu ya Afrika.

======

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya kutokea ugomvi kati ya Wachina wanaomiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha, maarufu kama Bonanza na watu waliokuwa wanacheza mchezo huo.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Ulrich Matei, Mei 25, mwaka huu saa 11 jioni maeneo ya Soweto Kata ya Ruanda jijini hapa, watu wawili Abison Hamis (36) na Gilbert Mwakanyema (32) wote wakazi wa Manga Veta, walijeruhiwa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao na raia wa China, kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ambao ni Watanzania.

Kamanda Matei alisema chanzo cha tukio hilo ni ugomvi uliozuka kati ya mfanyabiashara na raia wa China, Chen Yen (43) anayeishi Veta jijini hapa na Hamis maarufu kwa jina la Ndele, baada ya Mtanzania huyo kutamka neno la Kichina, lililomuudhi Yen na kusababisha ugomvi uliosababisha baadhi ya watu kujeruhiwa.

Akifafanua, alisema awali raia huyo wa China alifika eneo hilo kuchukua fedha kwenye mashine ya mchezo wa kubahatisha ya Kampuni ya Bonanza akiwa amefuatana na dereva wake, Gift Elia (23) maarufu kwa jina la Mwamelo anayeishi Airport, wakiwa na gari yenye namba za usajili T 252 DNL aina ya Toyota Kluger katika eneo lijulikanalo kwa jina la Sports Centre, linalomilikiwa na Salum Juma pia wa jijini Mbeya.

Alisema wakati huo, Hamis alifika eneo hilo kucheza “pool table” akiwa ameongozana na Gilbert Mwakanyemba, Kennedy Mwamlima na mwenzao aliyefahamika kwa jina moja la Yohana.

Alisema baada ya kuzuka kwa ugomvi huo, Yen alipiga simu kuomba msaada kwa wenzake, ambao walifika na kuanza kuwashambulia akina Abison na Gilbert kwa sime maeneo mbalimbali ya miili yao.

Alisema waliokamatwa ni Wachina Yen, Xiao Jing (30), Lin Hai (30), Lyu Qzing (36), Jiang Ze Dong (39) wote wakazi wa Meta jijini hapa na Watanzania Elia, dereva na mkazi wa Airport, Herman Elius maarufu Mwalwiba (20) dereva na mkazi wa Esso na Mwamlima (28) dereva na mkazi wa Ituha jijini hapa.

Chanzo: HabariLeo
Aisee bora kucharangwa na mapanga kuliko mwanaume kugeuzwa na wanaume wenzio km Wakenya wanavyogongwa kule Uganda ni aibu sana mnatupa EA
 
Unapigwa mapanga na kungfu
Na wakati ulifanya kuenda kwake kw ajili ya kamare tu.halafu watanzania wanawasaidia..
Kweli tanzania na china ni marafiki
 
Hehehehehe kwahyo ww ukifumaniwa na mke wa mtu utakubali kupigwa panga au na ww kuliwa? Tunajua Wakenya mtakubali kuliwa ndogo ila mTz bora apigwe panga kuliko kugeuzwa
 
Heri kupigwa kungfu ama mapanga maana hapo ni vita sio adhabu na kwa kweli michina ipo juu kwa kungfu na kutumia swords kuliko vijana wa tandale.. Mikenya humu inatandikwa na wachina viboko kama wanafunzi wa darasa LA saba..Yani unaambiwa uteremshe lisuruali lako,ushike ukuta,mchina akutembelee matakoni? yote haya ukiwa umekaa kimya bosi wako asikufute kazi!! - Ukoloni mamboleo
 
Halafu mbaya zaidi, walisaidiana na Watanzania wengine kukatakata wenzao kwa mapanga, ama kwa kweli Watanzania mumekua aibu ya Afrika.

======

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya kutokea ugomvi kati ya Wachina wanaomiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha, maarufu kama Bonanza na watu waliokuwa wanacheza mchezo huo.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Ulrich Matei, Mei 25, mwaka huu saa 11 jioni maeneo ya Soweto Kata ya Ruanda jijini hapa, watu wawili Abison Hamis (36) na Gilbert Mwakanyema (32) wote wakazi wa Manga Veta, walijeruhiwa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao na raia wa China, kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ambao ni Watanzania.

Kamanda Matei alisema chanzo cha tukio hilo ni ugomvi uliozuka kati ya mfanyabiashara na raia wa China, Chen Yen (43) anayeishi Veta jijini hapa na Hamis maarufu kwa jina la Ndele, baada ya Mtanzania huyo kutamka neno la Kichina, lililomuudhi Yen na kusababisha ugomvi uliosababisha baadhi ya watu kujeruhiwa.

Akifafanua, alisema awali raia huyo wa China alifika eneo hilo kuchukua fedha kwenye mashine ya mchezo wa kubahatisha ya Kampuni ya Bonanza akiwa amefuatana na dereva wake, Gift Elia (23) maarufu kwa jina la Mwamelo anayeishi Airport, wakiwa na gari yenye namba za usajili T 252 DNL aina ya Toyota Kluger katika eneo lijulikanalo kwa jina la Sports Centre, linalomilikiwa na Salum Juma pia wa jijini Mbeya.

Alisema wakati huo, Hamis alifika eneo hilo kucheza “pool table” akiwa ameongozana na Gilbert Mwakanyemba, Kennedy Mwamlima na mwenzao aliyefahamika kwa jina moja la Yohana.

Alisema baada ya kuzuka kwa ugomvi huo, Yen alipiga simu kuomba msaada kwa wenzake, ambao walifika na kuanza kuwashambulia akina Abison na Gilbert kwa sime maeneo mbalimbali ya miili yao.

Alisema waliokamatwa ni Wachina Yen, Xiao Jing (30), Lin Hai (30), Lyu Qzing (36), Jiang Ze Dong (39) wote wakazi wa Meta jijini hapa na Watanzania Elia, dereva na mkazi wa Airport, Herman Elius maarufu Mwalwiba (20) dereva na mkazi wa Esso na Mwamlima (28) dereva na mkazi wa Ituha jijini hapa.

Chanzo: HabariLeo
Si afadhali hawa watz wamepigana kuliko wale wakenya walipigwa kama watoto wadogo bila hata kurudisha ngumi moja!
 
Back
Top Bottom