Wachina Sinza Wanarefusha Mifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachina Sinza Wanarefusha Mifupa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nazjaz, Apr 29, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Kama huridhiki na urefu wa kimo chako, nenda Sinza Makaburini, nyuma ya Kilimanjaro Bar kuna zahanati mpya ya wachina wanarefusha mifupa.
   
 2. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hii itawafaa wanaotaka kuwa kama "Hashim Thabit"
   
 3. g

  gogozito Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mbona wao hawajirefushi?
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Laana hii
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  halafu cha kuchekesha, Wachina wengi ni vimbilikimo
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  nice quiz mkuu, kudos!
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dah hawa Wachina ni noma..hebu niulizie kama wanarefusha nywele..
   
 8. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  walaaahi wachina wamelaaniwa, kama wana dawa za kurefusha watu mbona na wao wasijirefushe wamfikie idol wao Yao Ming?mbona wasiongeze size za nanihiu zao , ma hips etc?
  Jibu ni kuwa bcz wanajua dawa zote hizo zina side effect mbaya sana afta sam tym.

  My advice..ridhika na kile ulichopewa na Mungu wako...
   
 9. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hii ni mpya! Je, zahanati hiyo imesajiliwa pamoja na dawa zake kuthibitishwa na Mamlaka husika? Au nao wameoteshwa!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli na yale mambo yetu wanaongeza?? Yasijefika paka mguuni
   
 11. a

  andry surlbaran Senior Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kitu ni long process maana wanafanya kama wanakata mfupa na unawekewa nondo niliona london hii kitu af unatembelea magongo yan kwa mazingira ya Tanzania sidhani ni uhuni tu ni very complicated procedure
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Na jee anayetaka kupunguza urefu wanamtibu?
   
 13. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hawa wachina watatumaliza; walianza makalio na sasa urefu; muda si mrefu utasikia na dawa za nanihiii!!!!
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Bila shaka watakuwa nayo wanarefusha maana hayo ndiyo haswa yatawapa super profit kwa hapa bongo
   
 15. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekukubali mtaalam.
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  teh eh haaaaaaaaaa!!

  ama kweli duniani kuna mambo!!
   
 17. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,461
  Likes Received: 3,733
  Trophy Points: 280
  fikiria tena mkuu
   
 18. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Promoto la ukweli,umeamua kuinadi biashara yako?
   
Loading...