Wachina nani anawapa kiburi hivi?

Wachina nani anawapa kiburi hivi?

Walishasema, tatizo ni magari Makubwa ya mizigo yanaharibu barabara,manake hizo barabara zimejengwa kwa kiwango cha hali ya juu mno

Kama Barabara zimejengwa kwa hali ya juu mno ina maana unaweza kupititsha kitu chenye uzito mkubwa sana.
 
Unawaza mbali kwel ushawaza ngono tayari uchagan si tusi kabisaa ndo maana kuna ukoo unaitwa mboro
Sasa mmefika mbali, sii itakuwa shughuli pale MTU wa ukoo wa Mboro aoe wa ukoo wa Namtobe?
Turudi kwenye mada, kampuni za kichina pia ndio kunakolalamikiwa sana na unyanyasaji watumishi na hakuna hatua zinazochukuliwa
 
You should be joking and not serious friend.....this is a very critical case understand.
Mkuu unakataa ukweli?hizo kampuni ni kubwa na zimeshafanya miradi mikubwa duniani, kama hamna nidhamu katika matumizi yetu ya barabara hazitadumu, maana zinatengenezwa kwa standard iliyotakiwa

Kuna kipindi uliyokea msuguano kati ya Magufuli, wamiliki wa haya malori na wazir mkuu Pinda, kama barabara inauwezo wa kubeba tani 10, basi wenye malori wasizidishe la sivyo zitaharibika tuu na kuishia kuwalaumu waliyotengeneza badala ya watumiaji
 
Upinzani umepagawa na mbwembwe za Magu wakati kunavitu ka hiv vyakumdhibitisha Magu kama kweli mzalendo au kiki tuuu
 
Walishasema, tatizo ni magari Makubwa ya mizigo yanaharibu barabara,manake hizo barabara zimejengwa kwa kiwango cha hali ya juu mno
HAYO Magari Ambayo Wao Wanasema Yanaharibu Barabara Ambazo Wao Wamejenga Kwa Kiwango Cha JUU, Si Hizo Hizo Zinaenda Kongo, Zambia, Malawi, Uganda, Burundi, Rwanda N.k. MBONA Huko Barabara Zao HAZIHARIBIKI Kama ZILIVYO ZETU!!!?? RWANDA Wako Wakandarasi Wa KICHINA, Ambazo Zinajenga Barabara, Za KIWANGO Cha JUU Mno, Hakuna Barabara Ambazo Zimevimba Wala Kuchimbika Mahandaki!! HIVI Hii Barabara Ya KILWA, Tokea Round About Ya Bandari Hadi Mbagala Rangi 3!! IMEHARIBIKA Kutokana Na Magari MAKUBWA Yaendayo Bandari!!!!!??
 
Wachina ni shida.wananyonga sana haki za wafanyakazi wakibongo.Wakiulizwa wanajifanya hawajui kiswahili wala kiingereza. na kujifanya mabubu.
 
Upinzani umepagawa na mbwembwe za Magu wakati kunavitu ka hiv vyakumdhibitisha Magu kama kweli mzalendo au kiki tuuu
Umenena mkuu barabara za mchina hazidumu mfano Barabara ya chalinze melela ilifanyiwa marekebisho rehabilitation mwaka 2002 na kampuni ya Denmark ya arself na ncc na chalinze hadi mpakan ilifanyiwa marekebisho mwaka 2009 na kampun ya china geo cgc ila itembelee leo inabanduka na viraka vya kutosha je hii ni kwa. Nn
 
Kuna hizi kampuni za kichina hapa Tanzania ni nyingi sana kwenye ujenzi wa nyumba pia barabara hivi ni nani anawapa kiburi hivi, maana ukifuatilia kwenye ujenzi wa barabara hawa jamaa hawaajiri kabisa pia wanalipua sana kwenye earthwork ni wabovu sana barabara zao nyingi ni mbovu mfano Chalinze hadi mpakani wa Tanga walijenga hawa c.g.c. ishaanza kubanduka lami tatizo ni nini nani anawapa kiburi?

Unategemea mtu akujengee barabara ya 1bil kwa kilomita wakati wewe unampa nusu Bilioni kwa kilometa?
 
Kuna mradi wa east Africa toka arusha mpaka Nairobi kwa Tanzania ilijenga hii kampuni ya cgc na jangs zote za China toka arusha namanga ebu pita iyo barabara uone ni mashimo ni nyembamba kama uchochoro imevimba na ni asfat lami ya moto ambayo ni garama sana sasa ingia upande wa namanga adi kajiado adi Nairobi Barbara ni pana nzuri na imejengwa na kampuni ya China sino haidro hivi tatizo ni usimamizi au mainginia wetu wabovu?
 
mkwere ndiyo aliwapa kiburi wakawa waningia ikulu kama kwenda kunywa maji.... mchina ukimzengua anapiga simu kwa mkwere fasta
 
Kuna mradi wa east Africa toka arusha mpaka Nairobi kwa Tanzania ilijenga hii kampuni ya cgc na jangs zote za China toka arusha namanga ebu pita iyo barabara uone ni mashimo ni nyembamba kama uchochoro imevimba na ni asfat lami ya moto ambayo ni garama sana sasa ingia upande wa namanga adi kajiado adi Nairobi Barbara ni pana nzuri na imejengwa na kampuni ya China sino haidro hivi tatizo ni usimamizi au mainginia wetu wabovu?
10% zinaua miradi
 
HAYO Magari Ambayo Wao Wanasema Yanaharibu Barabara Ambazo Wao Wamejenga Kwa Kiwango Cha JUU, Si Hizo Hizo Zinaenda Kongo, Zambia, Malawi, Uganda, Burundi, Rwanda N.k. MBONA Huko Barabara Zao HAZIHARIBIKI Kama ZILIVYO ZETU!!!?? RWANDA Wako Wakandarasi Wa KICHINA, Ambazo Zinajenga Barabara, Za KIWANGO Cha JUU Mno, Hakuna Barabara Ambazo Zimevimba Wala Kuchimbika Mahandaki!! HIVI Hii Barabara Ya KILWA, Tokea Round About Ya Bandari Hadi Mbagala Rangi 3!! IMEHARIBIKA Kutokana Na Magari MAKUBWA Yaendayo Bandari!!!!!??
SASA hapo ndio ujiulize kwa nini?
 
Vasco da Gama ndio kawapa kiburi kwa kuwapa mikataba yote
 
Dili la Kichina na mtoto wa mfalme aliyestaafu.
 
HILO Ndio Tatizo Letu Wabongo, 10% Na Kutaka Cheaper!!!

Nashangaa sana hiyo barabara haijaisha mpaka leo kama sijakosea ilianza ukarabati tangu wakati Shukuru Kawambwa akiwa Waziri wa Miundombinu..., kwenye lile bunge la 2010 kulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu ukarabati wa hiyo barabara wakati kwingine hawajawahi kuona lami maishani (Lucas Selelii)
 
Back
Top Bottom