KWANZA Rushwa,Pili 10%, Tatu Kutaka Kujengewa Barabara Za Gharama Nafuu, Ili Tuonekane Kwa Mataifa Tujenga!!!SASA hapo ndio ujiulize kwa nini?
KWANZA Rushwa,Pili 10%, Tatu Kutaka Kujengewa Barabara Za Gharama Nafuu, Ili Tuonekane Kwa Mataifa Tujenga!!!SASA hapo ndio ujiulize kwa nini?
Basi USA wangekuwa wana mashimo tupu kwenye barabara zao. Maana katika gari 10kwenye highways 4 ni trucks. Wanalipua na kugawana mapato tu.Walishasema, tatizo ni magari Makubwa ya mizigo yanaharibu barabara,manake hizo barabara zimejengwa kwa kiwango cha hali ya juu mno