Kuna hizi kampuni za kichina hapa Tanzania ni nyingi sana kwenye ujenzi wa nyumba pia barabara hivi ni nani anawapa kiburi hivi, maana ukifuatilia kwenye ujenzi wa barabara hawa jamaa hawaajiri kabisa pia wanalipua sana kwenye earthwork ni wabovu sana barabara zao nyingi ni mbovu mfano Chalinze hadi mpakani wa Tanga walijenga hawa c.g.c. ishaanza kubanduka lami tatizo ni nini nani anawapa kiburi?