Wachina hawafungui maduka leo huruma

...Na huu ndio mwanzo tu, subiri miaka michache ijayo idadi yao itakapokuwa kubwa kuliko ya Watanzania, maana bado wanaitana, hapo ndio tutajuta kwa kuwaruhusu Wachina kuingia nchini tena wengi wao wakiendelea kuishi kiharamu.

Hii nchi yetu sijui ni lini tutajifunza kwadhibiti wageni, ipo legelege kila sehemu
 
Reactions: BAK
Wachina waandamana kwa amani, waahidi kuwakamata wenyewe wakipewa kibali



 

Attachments

  • wachina.JPG
    893.7 KB · Views: 172
Kuna mchina mmoja mwanamke wakati akitoka kazini kapigwa roba kule kurasini na kufa papo hapo, naona jamaa wameona nao walianzishe .

Wakiruhusiwa tu na sisi tunaandamana. Igunga, Arusha, Mwanza, Dar watu wanauawa kila siku tena kwa risasi za polisi, mbona tunapotaka maandamano tunapigwa mabomu Maji ya pilipili visu nondo nk. Who are their@&..!£%¥§ Chinese in this country to go around protesting tena ndani ya over 100+ cars?
 
Nchi hii inasikitisha sana, Wageni wana haki ya kuandamana lakini wenye nchi haki hiyo hawana kabisa. Ingekuwa CDM wameaandaa maandamano basi FFU wangemwaga kwa fujo ili kuzuia maandamano hayo.
 
ndo matokeo ya kuingia kwenye office kwa hila bro
 
we mzalendo, umesoma mpaka darasa la ngapi!?
Unajua ubalozi wa china uko sehemu gani hapa nchini?
Unajua ni Watanzania wangapi wako China (wengine wakigharamiwa na serikali ya China?
 
kuua ni unyama kwa tz kabari za mbao bila kuua ni kama inaruhusiwa kwani wapiga kabari wote police inawajua, wakiondoka kariakoo twafwaaaaaa
maana ndio wenye mitaji ya kutukopesha baada ya serikali yetu kutupa
 
kule china kumejaa watu km utitiri hakuna oxgen ya kutosha, maji masafi ni adimu,kila kona kumejaa foleni za magar,bodaboda,waenda kwa miguu,,hakuna viwanja vya kujenga, nyumba 1 wanaish wa2 zaid ya 50, SASA SERIKALI YA CHINA IMEWEKA MKAKATI WA KUHAMISHA RAIA WAO KUJA TZ NA NCH NYNGNE AMBAZO ZINAPOKEA WAGENI KIHOLELA
 
Nchi hii inasikitisha sana, Wageni wana haki ya kuandamana lakini wenye nchi haki hiyo hawana kabisa. Ingekuwa CDM wameaandaa maandamano basi FFU wangemwaga kwa fujo ili kuzuia maandamano hayo.
...Hivi intelijensia ya afande Saidi Mwema iliona ni salama hao wachina kuandamana kwenye nchi yetu? Kweli wabongo ni bongo lala hasa....Kwa hiyo na wale watz walioko china wanaweza kupewa kibali kuandama katika nchi ya wenyewe?
 
Reactions: BAK
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa CDM humu JF, acha kundandia pipe kwa mbele.

Huyo niloimjibu mimi namjua ni kada wa CDM ndio maana nimemwambia hayo maneno

dah! ritz bana, ahahahaaha! sio kosa lako mkuu,
 
mhhhhhhh!...these chinese bana
 
Acheni upumbavu, nyie mnataka kuleta ubaguzi. Kwani hamna wabongo wanaoishi china? Nao wakiteswa hivyo mtakubali? Tunzeni heshima ya mtanzania. Mtanzania anaonekana na mataifa ya nje kama ni mtu mkarimu.
 
Police wetu kwa kuwaogopa wageni tu hawajambo,sijui ni lugha ndio inayochangia? me siwaelewi kabisa hawa police kama vipi watengewe bajeti ya kusoma english couse.
 
Sasa hizi chuki zimekuwa dhahiri kabisa, mimi nafikiri wakupigwa roba hizi ni hawa viongozi wetu wanaokwiba kwa kuuziana magari ya milioni 30 kwa milioni 2, migodi ya Bilioni saba kwa shilingi milioni mia saba tena mkopo, wale wanaokopeshwa milioni 500 hapo NSSF, lakini wao si wachangiaji, 99%ya waasia walioko hapa bongo ni wasaga lami kama wewe, sema wewe umewazidi kwa sababu kwa shillingi mia tano unamvulia mtu nguo,
nipeni namba ya simu ya aliyempiga roba nimpe salio la kutosha ktk akaunt yake .............i wish wangepigwa roba ka 70 ivi + wahindi 2000
 
Uliomba kibali cha kuandamana huko china ukanyimwa?, kwani wakiandamana wanakudhuru nini?!, hujui kuwa kwa sauti yao janga la majambazi linaweza kupata dawa?!.
...Hivi intelijensia ya afande Saidi Mwema iliona ni salama hao wachina kuandamana kwenye nchi yetu? Kweli wabongo ni bongo lala hasa....Kwa hiyo na wale watz walioko china wanaweza kupewa kibali kuandama katika nchi ya wenyewe?
 
wanataka nini hawa wachina?kwani haki zao zikoje?wanalazimisha biashara wamekuatana na wabongo wenye bongo kama wao,waende botswana walikolala fofofo
 
wanataka nini hawa wachina?kwani haki zao zikoje?wanalazimisha biashara wamekuatana na wabongo wenye bongo kama wao,waende botswana walikolala fofofo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…