Wachina hawafungui maduka leo huruma

Wachina hawafungui maduka leo huruma

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,414
Reaction score
199
Habari za kusikitisha leo tar 17Oct 2011 wachina katka vipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina mwenzetu aliyeuawa na majambazi na tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni Tanzania" jamani hili la majambazi serikali wanalionaje?
 
habari za kusikitisha leo tar 17ock 2011 wachina katka vipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina mwenzetu aliyeuawa na majambazi na tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni tanzania" jamani hili la majambazi serikali wanalionaje?

Walitangaza toka jana kwenye magazeti kadhaa, serikali imeifanya idara ya polisi ya kisiasa zaidi kuliko kiutendaji. Wametoa kipaumbele zaidi kwenye siasa
 
Leo wachina wataandamana jiji Dar es salaam wakiwa ndani ya magari yao zaidi ya 100
 
Kuna mchina mmoja mwanamke wakati akitoka kazini kapigwa roba kule kurasini na kufa papo hapo, naona jamaa wameona nao walianzishe .
 
Sheria zinazemaje juu ya wageni kuandamana?
 
Polisi wanadili na chadema maana kwao ndio majambazi.ila wachina nao wamezidi kuuza feki .
 
Wataishia tu kucharazwa mabomu ya machozi.
 
kila kitu kinawezekana tanzania chini ya uongozi wa magamba!
 
ila polisi wakiwapiga risasi kama ndugu zetu kule arusha watakuja kutusambasatisha
 
Duuuuuuuuuu we fikiria sasa mpaka Manzese kwa mtogoel wachina wanapanga vyumba na sijui kama hawa wote wanapermit za kuishi tz,
 
Namsikitika Mtikila ndie mtu pekee alieweza kutamka waziwazi wageni wamezidi waondoke kwao magabachori,hivi mkuu unajua wahindi ndio waliotufikisha hapa tulipo ndio wao waliofundisha kufoji hati mbalimbali ndio wao walioshamirisha rushwa kwa viongozi wetu ndio wao wanaowalete ndugu zao bila x=vibali vya kuishi hapa nishawakuta wahindi kibao kwenye majengo yao wamefichwa hawana viballi wala kiswahilihawajui,achilia mbali kiingereza ,baada ya n,muda wanakuwa mabosi kwenye viwanda vyao ,nikawakia wakipigiana simu Njooni tz hata bila nguo mtarudi kwenu India matajiri,juzi nimewakuta wachina wanapiga siling board TMJ Nje hakuna hata bango la Contractor sijui Board kama wanajua hili na hao wachina wana working permit
 
Wakuu msiwaponde wachina kwa kila kitu maana kinachowafanya waandamane ndio yale yale ya "ukiona mwenzio ananyolewa....".
Hii kitu (kama ndiyo inahusiana na hii thread) nilisoma jana kwenye gazeti la Mwanachi na kama na sio sign nzuri kwa maisha ya Watanzania.
Siku nyingine Wamarekani (nasikia) waliingilia kati vijana fulani wakamatwe baada ya kushuhudia raia wa nchi zao wakiporwa na kila wakiripoti polisi hakuna kilichofanyika wakati wale vijana wanajulikana kwa watu wengi tu na ukatili waliokuwa wakiufanya katika harakati zao za uporaji!
Mawazo ya wachangiaji wengi yana usahihi lakini kuna haja ya kutafakari 'what is all about this'!
Nimeambatanisha hili tangazo lililotoka kwenye gazeti la Mwananchi jana Jumapili.
announcement.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom