Wachezaji wengi wanaipenda Yanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji wengi wanaipenda Yanga!

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Aug 1, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Tangu nimeanza kufatilia soka la bongo,mwaka 1990,sijawahi kusikia mchezaji kutoka yanga akishinikiza kwenda simba,bali nimeshuhudia wa simba wakingangania kuvaa uzi wa YANGA tena wakiwa kwenye kiwango cha juu,mfano,Hamisi gaga,method mogela,zamoyoni mogela,athumani idi,saidi maulidi,CALVIN YONDAN..Ngasa nae hana raha na azam,Bahanuz nae aliwachomelea simba,akawaambia nataka kuchezea timu niipendayo (yanga).Simba wamekuwa wakiambulia magalasa tu kutoka yanga,au waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu...
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bongo Bingo. Yanga haina sifa ya kutowa wachezaji wazuri kwa hivi karibuni, mara ya mwisho kutoa wachezaji wazuri wa Kimataifa ni wakati alipokuwapo Professor Victor Stansulescue ambae aliibuwa wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, kina Kassim Manara, Adolph Rishard, Mohamed Mkweche, Juma Pondamali, na wengineo.
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kama ilivyo kwa wachezaji nyota Ulaya wanavyoipenda AC Milan...

  666
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  simba ushuzi tu...
  Kwanza kamlipeni yule bimkubwa anayewadai pesa ya chapati mlizofededea na kuingia mitini...
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Of coz sio wachezaji tu bali hata majority ya watanganyika wanaipenda Yanga
   
 6. chishango

  chishango JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 827
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Hata mie naipenda Yanga
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yanga ndo sisi!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kuijua soka baada ya 1990.........kwa taarifa yako Yanga daima hutamani wachezaji hasa baada ya kupata kipigo toka Simba......pia inaonyesha udhaifu wenu wa kusaka vipaji.........nyie mpaka mchezaji atokee Simba.....BTW umemsahau Kaseja.........nakupa post card hii ya upendo!!!!


  [​IMG]
   
 9. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kila binadamu anapenda kitu kizuri.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli mkuu.
   
 11. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Umeunganisha data siku leo enh??

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 12. daniel don

  daniel don Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemsahau Akida Makunda, Shaaban Ramadhan na Kaseja..Wengine wenye mapenzi na Yanga lakini walibaki Simba kwa ajili ya kuchota pesa za bure ni Hussein Masha na Mwameja.. Yanga kiboko, ukiona mchezaji anatoka Yanga kwenda Simba ujue ni gemu limekataa mfano, Lunyamila, Mohamed Hussein, Tigana, na wengine wengi..Nani mzuri aliyekwenda Simba akaacha pengo Yanga?
   
 13. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  unawkumbuka hawa,au unajisahaulisha ,Edbily lunyamila (winga bora wa karne wa tz) ,said mwamba kizota ,mohamedi husen,sanifu lazaro,keni mkapa,nk,nk....Unakumbuka kaseja alivowapigia magoti wanasimba ili akachezee yanga?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka goli 5 - 0 za juzi uwanja wa Taifa.
   
 15. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Kama watu wengi wanaipenda Yanga, ina maana pia wengi waliumizwa na kipigo cha 5 - 0

   
 16. masharubu

  masharubu Senior Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Athumani abdallah (china)
   
 17. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Simba chuo cha mafunzo. Na mwanafunzi akishafuzu ni wajibu wake aonyeshe matunda ya darasa. Hivyo Yanga msifurahi tu kupokea vilivyondaliwa na wenzenu mwisho mtapokea sumu. Si mnakumbuka 6-0 na 5-0!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 18. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Embu pata hii kitu hapa.....Congo - Pepe Kalle (RIP) - Guy Guy Madimba - YouTube
   
 19. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  lete Kahawa
  Au lete Kashata
  Kuna mtu kapagawa
  Na karibu atadata Lete kahawa
  Au lete Kashata
  Kuna mtu kapagawa
  Na karibu atadata Helwaa helua helua
  Helwaa helua helua
   
 20. paty

  paty JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  ramadan wasso na athuman idd
   
Loading...