Mi namshangaa kip denis anapocheza na klabu ya ubwela utadhani ameweka mota miguuni taifa staaNimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
mkuu kufungwa starz ilikuwa tegemeo kabisa,kwa timu gani ile iifunge moroccoMKuu ko ww ulijiandaa kufungwa
KIufupi haeleweki...hana consistency.Kwamba ana standards zake![]()
Mpira ni mipango mzeeHivi ulifikiri ungeifunga Morocco kwake?
Yaani kikosi cha Morocco kina value zaidi ya 2.8B$ dhidi ya kikosi chetu cha Tanzania chenye thamani ya 0.58B$ then tutegemee maajabu hapo
Angalia Ligi yetu, wanaoongoza ufungaji Bora, almost wote ni raia wa Kigeni
Hapana mkuu...Mimi sina timuSipati picha kama goli la pili alilosababisha Sajenti angesababisha mchezaji wa Simba mleta mada ambaye tunamjua fika ni shabiki kindakindaki wa Yanga angekuja na kejeli gani kwake.
Tuache aina hii ya ushabiki
KwenuWapi
Yaani wewe ndio bwege kabisa poyoyo jinga la mwisho. Hujui hata ulichoandikaSijawahi ona ushabiki wa kijinga namna hii
Yanga hakuna mtu fala kama weweNimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
Hiyo mipango mbona hamkuitumia kuvuka makundi pale Yanga😜Mpira ni mipango mzee