Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini

Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena

Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana

Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia

Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
Aliyesababisha penati ni mchezaji wa timu gani!Simba au Yanga?
 
Bongo Kila kitu kinafanyika Kwa kubalance ( busara) than uhalisia .......this is real what happens
Mnatambulika kirahisi sana!
FB_IMG_1741771581226.jpg
 
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini

Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena

Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana

Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia

Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
utopolo kwenye ubora wako.... 😀 😀
 
Unazungumziaje tukio hili bacca amezoea mpaka anayafanyia golini kwake!
 
Attachments

  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 4
Nataka kujua Hemed Morocco na Juma Mgunda wana historia gani ya mafanikio kama makocha kiasi cha kuaminiwa na kupewa timu ya taifa? Au ndio siasa za awamu ya sita kila kitu ni kuwafurahisha wazanzibari
Hapana mkuu ni muda wa kuwathamini wazawa
 
Hivi aliyesababisha penalty ni nani?Sikumbuki kama Mzize alipiga shuti lolote iwe nje ama ndani ya goli Job nae alikuwa kama Mbilikimo kwa majamaa ya Morocco

Kifupi sikuona Mchezaji toka Jamhuri ya watu wa Utopolo alichezq vzr

Magoli yote kasababisha bacca

Moja katoa mpira ambao alikiwa anaumudu kupiga mbele kasababisha kona ikazaa goli

PIli kanawa mpira ikawekwa penati
 
Hivi ulifikiri ungeifunga Morocco kwake?

Yaani kikosi cha Morocco kina value zaidi ya 2.8B$ dhidi ya kikosi chetu cha Tanzania chenye thamani ya 0.58B$ then tutegemee maajabu hapo

Angalia Ligi yetu, wanaoongoza ufungaji Bora, almost wote ni raia wa Kigeni
ila wabongo!?!👿 lini tutaanza kujiamini value za vikosi ni namba tu hukuona Nigeria alivolazimishwa sare na zimbabwe timu ya kawaida kabisa!!
 
we chura uliangalia mpira ukiwa chooni au mbona kama akili zimeyuma ,nahisi umemiss kupopolewa
 
Back
Top Bottom