Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

ila wabongo!?!👿 lini tutaanza kujiamini value za vikosi ni namba tu hukuona Nigeria alivolazimishwa sare na zimbabwe timu ya kawaida kabisa!!
Kwanini suala la uwekezaji ni muhimu kwenye hizi timu zetu.

Hamuoni hata Kwa level ya Vilabu, Vilabu vya Waarabu ambavyo vimefanya uwekezaji Mkubwa ndivyo vinavyotawala soka letu.
 
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini

Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena

Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana

Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia

Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
naona sajenti wa nyuma mwiko kauza timu ya taifa stars ana goli moja
 
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini

Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena

Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana

Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia

Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamishaView attachment 3283659
Siku hizi JF ina vitoto vya hovyo sana...
 
Back
Top Bottom