Mr Yes
Senior Member
- Jan 31, 2013
- 153
- 28
Mashindano yenu ni mazuri, japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV. Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.
Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara, kwanini? kwasababu tulitarajia mashindano haya yangejumuisha wachezaji wasiocheza katika ligi kuu ili kuwapa nafasi ya kuonesha vipaji vyao.
Kuwaleta akina Tegete na wengineo imenyima naasi ya vipaji vipya kuonesha vipaji vyao,kwa hap naweza kusema waandaji wamefeli kwa kiasi fulani.
Nashauri mashindano yajayo waandaaji wasiruhusu wachezaji wa ligi kuu kushiri mashindano haya ila vipaji vipya wapate kuonesha ufundi wao.
Yote ya yote nasema HONGERA kwenu waandaaji.