Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

Mr Yes

Senior Member
Jan 31, 2013
153
0
Mashindano yenu ni mazuri, japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV. Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.

Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara, kwanini? kwasababu tulitarajia mashindano haya yangejumuisha wachezaji wasiocheza katika ligi kuu ili kuwapa nafasi ya kuonesha vipaji vyao.

Kuwaleta akina Tegete na wengineo imenyima naasi ya vipaji vipya kuonesha vipaji vyao,kwa hap naweza kusema waandaji wamefeli kwa kiasi fulani.

Nashauri mashindano yajayo waandaaji wasiruhusu wachezaji wa ligi kuu kushiri mashindano haya ila vipaji vipya wapate kuonesha ufundi wao.

Yote ya yote nasema HONGERA kwenu waandaaji.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,604
2,000
Mashindano yenu ni mazuri,japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV.Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.

Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara,kwanini?kwasababu tulitarajiamashindano haya yangejumuisha wachezaji wasiocheza katika ligi kuu ili kuwapa nafasi ya kuonesha vipaji vyao.

Kuwaleta akina Tegetu na wengineo imenyima naasi ya vipaji vipya kuonesha vipaji vyao,kwa hap naweza kusema waandaji wamefeli kwa kiasi fulani.

Nashauri mashindano yajayo waandaaji wasiruhusu wachezaji wa ligi kuu kushiri mashindano haya ila vipaji vipya wapate kuonesha ufundi wao.

Yote ya yote nasema HONGERA kwenu waandaaji.
It's Very Simple Hebu Anzisha Ya Kwako Na Wewe!
 
Stoic

Senior Member
Jun 17, 2014
141

Finali ya leo imenikumbusha mbali sana. Ndondo ilianza kitambo na ilitusaidia kuwaona 'mafadha' mchangani.
 
Darius

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
1,956
1,500
Mashindano yenu ni mazuri,japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV.Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.

Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara,kwanini?kwasababu tulitarajiamashindano haya yangejumuisha wachezaji wasiocheza katika ligi kuu ili kuwapa nafasi ya kuonesha vipaji vyao.

Kuwaleta akina Tegetu na wengineo imenyima naasi ya vipaji vipya kuonesha vipaji vyao,kwa hap naweza kusema waandaji wamefeli kwa kiasi fulani.

Nashauri mashindano yajayo waandaaji wasiruhusu wachezaji wa ligi kuu kushiri mashindano haya ila vipaji vipya wapate kuonesha ufundi wao.

Yote ya yote nasema HONGERA kwenu waandaaji.
Mkuu kama jina la mashindano linavyojionyesha...ndondo ni aina ya mashindano kwa level ya mchangani but inakuwaga na wachezi masuperstar wanachukuliwa either kama timu yake ya mtaani au anacheza kwa kulipwa......by then haiwezi itwa ndondo bila kuwa na hao masuperstar....

May be ulete idea yko mpya kwamba...ihusishe ma underground tuu but neno ndondo lisitumike
 
Mr Yes

Senior Member
Jan 31, 2013
153
0
Panapokuwa Na Hoja Ya KIPOPOMA na Inayotolewa Na POPOMA Basi Hakuna Shaka Kuijibu Ili Kuondoa UPOPOMA Wako Huu.
sina uwezo wa kujibizana na watu kama wewe coz hata history ya humu nishaiona,just go suit yourself
 
Mr Yes

Senior Member
Jan 31, 2013
153
0
Mkuu kama jina la mashindano linavyojionyesha...ndondo ni aina ya mashindano kwa level ya mchangani but inakuwaga na wachezi masuperstar wanachukuliwa either kama timu yake ya mtaani au anacheza kwa kulipwa......by then haiwezi itwa ndondo bila kuwa na hao masuperstar....

May be ulete idea yko mpya kwamba...ihusishe ma underground tuu but neno ndondo lisitumike
kwani hilo neno NDONDO maana yake nini mkuu
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,558
2,000
Hiyo ndio raha ya ndondo toka zamani. Unakwenda kuangalia ndondo cz always lazima kuwe na surprise ya mchezaji toka timu kubwa.
 
May 26, 2014
16
0
nimekuelewa Mr yes, clouds fm wanastahili pongezi kwa haya mashindano na Dr.Mwaka pia binafsi nadhani hiyo ni baadhi ya mambo yanayohitaji kushughulikiwa sheria ziwekwe hata kama itaruhusu wachezaji wa ligi kuu basi wawe wachache sana ila kwa maoni yangu naona ingekua vema wachezaji wa ligi kuu wasiwepo kabisa pia kwa msimu ujao watanue wigo angalau waje na mikoani pia.asante na azam tv kwa kazi nzuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom