Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

Mkuu kama jina la mashindano linavyojionyesha...ndondo ni aina ya mashindano kwa level ya mchangani but inakuwaga na wachezi masuperstar wanachukuliwa either kama timu yake ya mtaani au anacheza kwa kulipwa......by then haiwezi itwa ndondo bila kuwa na hao masuperstar....

May be ulete idea yko mpya kwamba...ihusishe ma underground tuu but neno ndondo lisitumike

kamusi gani umetumia MKUU?
 
sina uwezo wa kujibizana na watu kama wewe coz hata history ya humu nishaiona,just go suit yourself

Kumbe Unaishi Kwa Historia? Kwahiyo Kwa Mfano Ungekuta Ukoo Wako UNAPUMULIWA Kisogoni Na Wewe Leo Ungekuwa UNAPUMULIWA? Historia Ya GENTAMYCINE Wewe IMEKUSAIDIA na ITAKUSAIDIA Nini? Mimi Ndiyo Kiboko Ya MAPOPOMA MAPOPOMA Kama Wewe Na Wengineo Humu! Ukileta Hoja Ya Maana Kama Ni Nzuri Nitakupongeza Na Kama Ni Ya KIPOPOMA basi Uta POPOMIKA Kweli.
 
huna akili wewe,inaonyesha jinsi gani ulivyo mswahili,wewe unafikiri ujinga unaoufanya kuna mtu atakusifia?eti Popoma;popoma sio wewe usiye na akili ambaye mambo yako chizi vile.Wewe ni mtu mzima sasa haya mambo ya kipuuzi waachie watoto.Sibishani na wewe tena.
 
Kumbe Unanijua Mkuu? au Ndiyo Wewe Niliyekupumulia Kisogoni Jana? Unavyozidi Kunijibu Ndiyo Unadhihirisha UPOPOMA Wako Na Isitoshe Sipo Humu lli Kutafuta Umaarufu au Sifa Na Isitoshe Hata Hatujuani Zaidi Tu Ya ID Zetu. Kama Mimi Nikiwa Mtu Mzima Mshua Wako Tutamwitaje au Atakuwaje? Hapa Utazima Sigara Mwenyewe. Kwa Kukusaidia Tu Ngoja Nikunukulie Kauli Ya Rais Museveni Isemayo " I Pay You According To Your Price " Akimaanisha Kwamba Ukimwingia Kichwa Kichwa Basi Utakula Za Uso Na Ukija Kiungwana Basi Na Yeye Atakuwa Muungwana Kwako Na Ndiyo GENTAMYCINE Nilivyo. Mbona Wengine Humu Naheshimiana Nao Na Mambo Yanaenda Tena Wengi Wao Ni Werevu Kukushinda Wewe Kubwa La MAPOPOMA Hapa Duniani. Anza Tu Kuangalia Uzi Wako Uliouleta Hapa Kisha Jitafakari Kama Kweli Wewe UNA AKILI TIMAMU...........Nahisi Napoteza Muda Na Mwanafunzi au Alumnae Pengine Wa TEOFIL KISANJI UNIVERSITY. Siku Nyingine UKOME Kuanzisha Mada Za KIPOPOMA. Endelea Kunifuatilia Na Kumchunguza GENTAMYCINE Na Akhsante Pia Kwa KUNIFAHAMU Kwani Nilidhani Ni Mke Wangu Tu Anayenifahamu Kumbe Upo Na Wewe Unayedai Unanifahamu...........Inaonekana MPUMULIO Wa Jana Umekukuna Haswa Hadi UNAJIPENDEKEZA Tena Kwangu...NIMEMALIZA Rasmi Na Wewe!
 
Back
Top Bottom