Wachezaji wa brazil baada ya kisago!

Wachezaji wa brazil baada ya kisago!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
Wakaamua kuficha identity zao wakiwa matembezini mtaani.
David Luiz akavaa nguo kama sister wa kanisa katoliki kisha akaingia mtaani.
Mara akakutana uso kwa uso na bibi kizee mmoja,akasalimiwa...aaah!LUIZ mzima wewe?
David Luiz akakerwa na kitendo cha yule bi kizee kumtambua,akaamua kurudi gheto na
kuvaa kama binti wa kiislam,akapiga hijab na kuziba mpaka macho kabisa.Alipoingia mtaani,
akakutana na yule bibi tena uso kwa uso.Yule bibi hakumchelewesha,akamsalimu...mambo vipi LUIZ,kila
unakoenda tunakutana,inakuwaje kuwaje?
LUIZ akanyong'onyea na kusononeka saana hata asiwe na ubunifu mpya wa kujihami.
Yule bibi akacheka saana kisha akamwambia LUIZ,ondoa hofu na mashaka,ni mimi NEYMAR!!
 
Tamu sana hii, nimeipenda mno! Asante.
 
Nimecheka kidogo. Story inafanana na ya wale jamaa walioenda kufanya kazi katika zoo moja hivi. Mmoja akawa Simba mwingine Sokwe.
 
Hahahahaaaaaa................! Hiyo ni kali sanaaaaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom