Wacheza uchi mbele ya watot ktk show ya diamond

Wacheza uchi mbele ya watot ktk show ya diamond

Huwa nachukizwa na hizi post ambazo ili uzielewe lazima uhamishe kutoka ulimwengu wa jf mpaka nchi ya kusadikika, we unashindwa nini kuweka picha hapa mpaka utuhamishie kwenye blog yako kilazima?
 
Eti unasema kuna habari nyingi hata michuzi haingii ndani.Mbona unaonekana una kisirani?Picha zenye mbona sio uchi.Mwe
 
Mbele ya polisi na kuwapotezea concentration, hilo ni kosa kisheria, nashangaa hawajawachukulia sheria.
 
Back
Top Bottom