Hayo mambo ya kanisa kubariki vitu watu washapiga hela sana siku za nyuma kwa kuuza "indulgences". Unaambiwa toa hela tutakupa indulgences za kumsaidia ndugu yako apunguziwe dhambi.nakumbuka wakat nafundishwa masomo ya rc kuingia kwenye ndoa padri akanipa hayo maji,kuna muda akawa anaoneshaa anataka kusema kitu! mwisho wa sk akaja akasema kitu! nikamuuliza hv hayo maji nan anayabariki akaniambia ni wao! toka hapo huwa sielew hayo maji ya baraka! anywys ni iman zaid!
Jibu swali kwanza. Unaiamini biblia?
Sent from my Kimulimuli
Biblia gani unayoiamini wewe?Mimi sio wa kiwango cha kujibu maswali yanayoulizwa bila mantiki? Biblia gani unayotaka kutaka kufahamu kama naimini au sivyo? Biblia iliyotokana na historia gani? Biblia ya Kiprotestant au ipi hasa?
Hapo unapigia mbuzi gitaa mkuu..hakuna kitu ataelewa bado atakuja na hoja za kukupinga.pole sanaSamahani sitaki jikuza kwa hili....mimi taaluma yangu ni mwanasaikolojia..sijataka sema hicho ulichokifikiria....to know your family background can solve even biological traits or genetic factor before to solve environment and nurture world......hivyo ni muhimu kutrace your origin.......ahsante Mkuu
Hiyo historia ya Ukoo wa Daudi unafikiria iliandikwa ili kutoa nafasi yesu au ukoo wake "kuvunja" maagano na miti ya laana? Kwa hiyo Biography kwa mfano ya Ukoo wa Magufuli ipo ili kuonyesha kuwa huko nyuma kwenye ukoo wao kulwahi kuwa na Raisi na ndio maana na yeye akafanikiwa kuukwaa uraisi?
Mkuu pole unajitahidi kumuelewesha mtu ambae haelewi.naona anayoyajibu mengi yapo kinyume.
Anakera kweli.mshauri asome kwa umakini aelewe ndo yaanze kumtoka maneno.
Yani mimi muhusika nimekuwa mpole nachukua ushauri,..yeye yanamfumuka maneno utafikiri yeye ndo mkereketwa sanaaaaa.anaboa kwa kweli
Pole mkuu
Haya makorokocho yapo kabisa.mi mwenyew nilikua siamini sasa naaminiNyumba nyingine sijui zikoje, mi siku moja nmeona mavitu siyaelewi mchana wa jua kali nliamka nduki, nikabeba nguo za kazini nikahamia kwa ndugu nikaacha nyumba.....nlirudi baada ya miezi 3 kuijia vitu, shwain yule maza hausi
Ukimwaga chumvi au maji ya Baraka ndo umeyaamsha
Uwiiiii mkuu unanitisha ujue..hahahaha leo nakuja kwenu kulalaKwelii niwachawii na mchawi akitaka kukutokezea anavaa suraa ya mtu unae mjua ili kuchonganisha ilaa nimtu mwingine kabisa ambae humtegemei Kama anaweza kukufanyia kitu Kama icho. Kazana maombii kuna roho chafu za Giza zinakufuata tafuta sehemu wanapofanya maombezi yanguvu vitaisha nakama ninyumba yakupanga huwezi jua umepanga chumba kimojaa na mazombi ya mwenye hausiii
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Asante.nashukuru kwa kuliona hilo.sijui ndio ile 666 imejaa kichwani??Ninapatwa na ukakasi hasa kuhusu uelewa wako katika biblia hiyo hiyo unayoisoma sasa kama si vizuri kutrace your origin Basi hata Yesu wako nina mashaka nae sababu aliyepo kwenye maandiko ukisoma Mathayo 1 yote ile ina trace origin asili ya Yesu zaidi ya vizazi vitano nyuma.......Waliona umuhimu ndiyo maana wakaliandika hilo...ukweli una shida somewhere there is missing part..
Mkuu pole unajitahidi kumuelewesha mtu ambae haelewi.naona anayoyajibu mengi yapo kinyume.
Anakera kweli.mshauri asome kwa umakini aelewe ndo yaanze kumtoka maneno.
Yani mimi muhusika nimekuwa mpole nachukua ushauri,..yeye yanamfumuka maneno utafikiri yeye ndo mkereketwa sanaaaaa.anaboa kwa kweli
Pole mkuu
Hapana mkuu.huwa siangaliagi movie za kutisha kabisa.na nina kama miezi miwili sijaangalia movie yoyote.Isiwe uliangalia walking dead au world war Z au Van helsing labla hujalala???
so sorry broda, get well soon.
[emoji17] [emoji17]
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
Hiyo historia ya Ukoo wa Daudi unafikiria iliandikwa ili kutoa nafasi yesu au ukoo wake "kuvunja" maagano na miti ya laana? Kwa hiyo Biography kwa mfano ya Ukoo wa Magufuli ipo ili kuonyesha kuwa huko nyuma kwenye ukoo wao kulwahi kuwa na Raisi na ndio maana na yeye akafanikiwa kuukwaa uraisi?
Soma maandiko Matakatifu na uyaelewe vizuri.Historia ya Ukoo wa Yesu ipo kutuhabarisha tu juu ya chimbuko lake na sio kama hao wahubiri wenu wafanyavyo leo.Maudhui ya Biography ya Yesu ni kama ilivyo leo kwa Biography ya Nyerere,Nkurumah,Kenyata,Mkwawa, wewe na mimi.Jambo la msingi na la kujivunia ni kile alichofanya Yesu kwa kutokea katika ukoo huo:kufa na kufufuka kwa ajili ya kutuondoshea dhambi zetu.
Biblia gani unayoiamini wewe?
Halafu unapoandika "Mimi sio wa kiwango cha kujibu maswali yanayoulizwa bila mantiki?"
Unatoa statement au unauliza swali?
Maana hiyo habari kuwa na alama ya kuuliza kwa muktadha wa majibizano yetu inakosa mantiki!
Umekaa kisharishari...unamatatizo mkuuWe acha tu yanifumuke! Kama hayo "maruwe maruwe" yako ni mambo binafsi na hutaki watu tuyatie "kurunzi" basi usingaliyaleta hapa.Wewe na team yako munajiathirisha na kuambukiza jamii na ndo maana tunaonyesheni mwanga na njia ya kutokea.Kimbieni hadithi za uchawi na majini.
Mi kipindi Nasoma sekondari nilikua naota mandoto ya ajabu ajabu pia mara niote kama naona paka ananikaba kwa kutumia mto mpaka nashindwa kupumua vizuri nikipiga kelele watu hawasikii basi nahangaika tu mara sijui nanyweshwa mavitu ya ajabu but I thank GodAmen mama.nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi.
Umejibu la typing error,labiblia gani unaaminihujajibu.Hilo la alama ya kuuliza badala ya kituo ni typing errors.Lichukue hivyo na marekebisho yamefanywa.