Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Kwa uelewa wako kifo ni laana,siyo? Kwa hiyo kuzaliwa ni laana? Kuota matiti ni laana? Kuota mvi ni laana? Kutoka kutembea umenyooka na kisha kutembelea mkongojo uzeeni ni laana,siyo? Mwanamke kukoma kwenda hedhi ni laana ,siyo?
Kwenye biblia imeandikwa kuwa kifo kimekuja kama mshahara wa dhambi ya uasi, hiyo ni laana.

Unayakataa maneno ya biblia?
 
Kwelii niwachawii na mchawi akitaka kukutokezea anavaa suraa ya mtu unae mjua ili kuchonganisha ilaa nimtu mwingine kabisa ambae humtegemei Kama anaweza kukufanyia kitu Kama icho. Kazana maombii kuna roho chafu za Giza zinakufuata tafuta sehemu wanapofanya maombezi yanguvu vitaisha nakama ninyumba yakupanga huwezi jua umepanga chumba kimojaa na mazombi ya mwenye hausiii

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 

Hao wachawi wanaokusumbua aidha ni wachawi wa level ya chini sana, au hawajakuamulia tu. Vitu unavotumia kujikinga navyo sio kinga madhubuti luckyline
 
Duhhh mkuu hio basi ni kiboko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akichanyanya na mifupa ya kitimoto plus kujipaka mafuta yake afu anakula kabisa nyama yake mbona mambo hapo yatakuwa mororo![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Una ufahamu kiasi gani kuhusu hayo maandiko unayoyaongelea?
Aisee Sanctus, Uko vizuri mwanangu. Yoote yote yaliishia pale msalabani Bwana Yesu aliposema "yamekwisha" au "imekwisha".... Kufa/kifo (Death) is a Biological fact lakini kiimani hiyo ni hatua ya mpito ili kuingia katika mwanzo wa aina nyingine ya maisha i.e yapo maisha baada ya hapo.
 
Una ufahamu kiasi gani kuhusu hayo maandiko unayoyaongelea?

Ninapatwa na ukakasi hasa kuhusu uelewa wako katika biblia hiyo hiyo unayoisoma sasa kama si vizuri kutrace your origin Basi hata Yesu wako nina mashaka nae sababu aliyepo kwenye maandiko ukisoma Mathayo 1 yote ile ina trace origin asili ya Yesu zaidi ya vizazi vitano nyuma.......Waliona umuhimu ndiyo maana wakaliandika hilo...ukweli una shida somewhere there is missing part..
 
Isiwe uliangalia walking dead au world war Z au Van helsing kabla hujalala???
so sorry broda, get well soon.
[emoji17] [emoji17]

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Wenzako ikifika usiku ni marufuku Kulitamka neno CHUMVI,
huwa tunaita MUNYU,
sasa wewe ita chumvi uje ulale na mazonge...( nimetoka ndani mada maramoja, ila nitarudi baadae)
Hivi kwanini usiku wanasema usiite chumvi sababu Ni nini

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 

Kama hiyo mifupa ya "Kitimoto" au "Kitimoto" chenyewe kinafukuza wachawi si bora awe anambeba Nguruwe mwenyewe kabisa mgongoni au kwenye gari au analala naye kitandani ili wachawi wengi zaidi na hata walio mbali kama Uganda,Kenya au Malawi wasimsogelee karibu na wala kumuwazia tu.
 
Sina uhakika sana kama wewe ni Great Thinker
Hujajibu swali. Jibu swali.

Mimi si "Great Thinker". Na wala sihitaji uniite au unione great thinker.

"Great Thinker" kwangu ni tusi la kejeli.

Aristotle alikuwa "Great Thinker". Kwa sababu hiyo, alisimamisha na kurudisha nyuma maendeleo ya sayansi kwa miaka 1600.

Sitegemei umjue Aristotle wala kisa ninachozungumzia.

Kwa sababu unaonekana kuona "Great Thinker" kuwa ni sifa nzuri.



Sent from my Kimulimuli
 
Haikuwa na ulazima wa wewe kumuongelea Mwakasege mkuu.wakati mwingine ni salama sana kukaa kimya na kuyaangalia maneno yako.

Kwani ungepita bila kusema chochote ungepungukiwa nini???

Kama unataka kumuongelea Mwl Christopher Mwakasege fungua uzi wako mkuu.usiniletee laana

Kama humpendi mtumishi fulani wa Mungu usimkashfu.ni vyema ukakaa kimya
 
Nashukuru kwa kunisaidia mkuu.
Sijui watu wengine wakoje jamni.kha!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…