Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Hayajakukuta,hata mleta mada alikuwa haamin na baada ya vimbwanga sasa kaleta mrejesho,uchaw upo na ni hatar



Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Aiseeh upo kabisaaaa...mtaani.ila serikalini haupo
 
Huyu mtu wako wa karibu unayesema anafafana na alikuvamia usiku na yeye ANA JICHO MOJA?,kama hana jicho moja acha kusingizia watu

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Hujanikwaza mkuu asante kwa ushauri.naimani hakuna atakaekwazika kwa ulichokisema kama akiielewa comment yako vizuri
 
Huyu mtu wako wa karibu unayesema anafafana na alikuvamia usiku na yeye ANA JICHO MOJA?,kama hana jicho moja acha kusingizia watu

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Sijui kama umeelewa uzi!!labda nikurahisishie tu.sura ya huyo mtu ndo mwenye jicho hilo.
 
Wacha niendelee na maombi nikue kiimani ili niweze jisimamia.hata nikilala kwa mchungaji haitosaidia mkuu bila kuwa na imani

jamaa piga kambi kanisani kama vipi sasa mambo gani hayao badala kulala usingiz unaweweseka
 
Hivyo vitu vipo ndani ya akili yako siyo rahisi mtu wa nje akaweza viona
Kutatua Changamoto hizo
1.Usiwe mkristo wa jumapili tu
2.Anza kufahamu asili yako maisha ya wazazi na babu ni nini kilichofanyika tangia wakati unazaliwa hadi hapo hupo
3.Elewa unapokuwa unaomba au unasikiliza Mahubiri yaani kama unayaamsha na moto mkali alafu yanajitokeza kukuzima ili usiendelee kaza spidi nunua bible
4.Anza kuwa mfungaji hata mara moja kwa wiki soma na tumia zaburi 35, 91
5.Ratiba nyingine ya mwakasege ni 107.5 Upendo Radio kuanzia saa 3 ucku...Jumamosi na Jumapili
6.Be commited to God Jitoe mzima mzima ukiwa unabipu una hatari kweli.
 
Asante sana mkuu ubarikiwe mno..nitafanyia kazi kuhusu kizazi chetu na historia yake.ubarikiwe mpka ushangae

Nashukuru pia kwa kunikumbusha hizo radio huwa nmfuatilia pote huko na akijaga hapa dar nijitahidgi kutokukosa mahubiri yake.

Tukijaaliwa uzima na afya mwezi wa tisa akija nitakuwa kwenye mahubiri yake
 
jamaa leta kiti moto kidogo mifupa yake, bangi hata puli tatu zinatosha huwez ona mauza uza jamaa, vitunguu swaum pia
Asante sana mkuu.nitafurahi nikijengeka kiimani zaidi kuliko hizo mambo nyingine.

Najaribu kuwaza tu siku nikisafiri kwenda kwa watu na kulala huko je nitayabeba hayo makorokoro pia??.ngoja nijitahidi nikue kiimani kwanza.

Asante sana kwa kujali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…