Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,111
- 3,273
Acha kuwa mbishi,yeye alisema anatumia hivyo viungo kulogea,hata Kagera ndo hivyo mtu akishwa zikwa lazima mlinde kaburi kwa siku saba,msipofanya hivyo mtakuta kaburi limedidimia hapo tayar kashachukuliwa.Huyo atakuwa alitumwa na Lucifer hizo roho za watu - kuna kipindi huwa zinahitajika huko kuzimu, sasa ukishapewa kazi hiyo lazima uifanye vingineyo makubwa yanakukuta kulingana na kiapo ulichoapa. Uwezo wa kuchimbua bila jembe huo anakuwa kashakupatia tayari.
Hapo pia huchimbui randomly hapana, kuna roho zingine hazihitajiki kabisa hata kule kuzimu (Reject). kunakuwa na namna ya ku-pinpoint.
Ushahidi upo tu mwingi mkuu,labda wewe umekaa mjini tangu uzaliwe au Ulaya lazidi ushahidi wa haya mambo upo sana.how are they going to prove, watakachofanya ni kuwatumia wanakijiji kunituhumu tu bila ushahidi wowote ule, hata wakinipeleka mahakamani nitawashinda day one.
Mwanga ana nufaika kwako kwa kitendo chake cha kukuchezea wewe usiku ukiwa umelala yeye ndio anapo pata faida. Mwanga ninaweza kumfananisha sawa na Mchezaji wa mazingaombwe au Mwizi. kwa ufupia Mwanga ni Mwizi na mchawi ni Jambazi. Mwizi hadhuru anaiba tu lakini Jambazi anadhuru na kuweza kukutoa hata roho yako.Asante mkuu,
Hapa kwa elimu uliyotoa, Mwanga ndie muhusika mkuu.
Mwanga ananufaika vipi na huo usumbufu...
mkuu, kati ya wachawi na wanga wapi ni wengi katika jamii zetu.Mwanga ana nufaika kwako kwa kitendo chake cha kukuchezea wewe usiku ukiwa umelala yeye ndio anapo pata faida. Mwanga ninaweza kumfananisha sawa na Mchezaji wa mazingaombwe au Mwizi. kwa ufupia Mwanga ni Mwizi na mchawi ni Jambazi. Mwizi hadhuru anaiba tu lakini Jambazi anadhuru na kuweza kukutoa hata roho yako.
Uchawi wa benki ni mkubwa zaidi.Hivi kama anaweza penya ndani kichawi .wanashindwaje kuingia benk kuchota pesa
Sikujua kama huyu bibi Bomba nae akili zake ni za kuunga ungaUchawi wa benki ni mkubwa zaidi.
Kusumbua watu ndo faida yakeStori za kichawi nyingi huwa ni kuonyesha wakipiga mikwara bila kuchukua hatua...
mfano:
Mtu kalala usiku eti mchawi anatembea juu ya bati ila haingii ndani...
sasa anapata faida gani...
Mtu umelala kitandani unajikuta uko juu ya bati, au uvunguni kisa wachawi wamefanya yao..
anafaidika nini...
Unaamka asubuhi unakuta umechanjwa chale badala ya kuuliwa kabisa kama ndio ilikuwa nia.
Sasa maana yake ni nini...
Wengine unasikia mtu anatembea ndani ukiwasha taa haoekani...
sasa anatembea ili iweje...
Wachawi wanamambo ya ajabu sana...
Nipe darasa nataka nizame uko hahaUchawi wa benki ni mkubwa zaidi.
Hata mm nilishawahi kuwaza hivyo. Yaan kwakweli hakuna mamtu ya kipuuzi kama machawi.Hivi kama anaweza penya ndani kichawi .wanashindwaje kuingia benk kuchota pesa
Kabla hujawa mchawi unatakiwa kwanza uwe mwanga. Stage ya kwanza ni ujifunze Uwanga na stage ya pili ndio Ujifunze Uchawi. Kwanza unatakiwa uwe mwanga upo kwenye kozi ukipasi ndio unaweza kuwa ni mchawi. na wote wapo wengi wanga na wachawi.mkuu, kati ya wachawi na wanga wapi ni wengi katika jamii zetu.
umeeleweka ila si wachawi wote wanatoa kafaraUchawi una algorithm ngumu sana, jiulize kwa nini mganga akufanyie wewe dawa za utajiri ila yeye hawezi kujifanyia? vivyo hivyo hawezi kukuroga wewe bila sababu akifanya hivyo damu yako inaweza kumsumbua sana. Mchawi hawezi kukubia hela yako mfukoni kama umeihesabu, ama anaweza kuingia ndani kwako akakuchezea kama unavyosema lakini hawezi kuiba chochote hata senti moja ingawa of cause anaziona.
Uchawi una principals zake!! ambazo mchawi lazima azifuate na asipofanya hivyo basi kazi ya uchawi inakuwa haiwezi na uchawi wake unamgeukia yeye kumwadhibu. Dawa za kichawi lazima zipate nguvu mpya, kutoa kafara za ndugu wa damu kama mtoto wa kuzaa, baba ama mama mzazi ni muhimu ili ku-recharge dawa yake.
Kuacha uchawi pia si kazi rahisi, once your in there is no simple way out!! lazima atoe kafara nyingi na kuyaua mauchawi yake yote ili yasimgeuke, sababu once yakijua anataka kuya-dump nayo yanaanza kujihami inakuwa vita takatifu.