Wachawi/wanga huwa wanapata faida gani kusumbua watu...

Wao huona fahari sana kukusumbua usilale! Pia kuna wengine wabaya ambao kazi yao ni kukuhabisha au kukutisha ili usurudie kupita Anga zao!
 
Uchawi una algorithm ngumu sana, jiulize kwa nini mganga akufanyie wewe dawa za utajiri ila yeye hawezi kujifanyia? vivyo hivyo hawezi kukuroga wewe bila sababu akifanya hivyo damu yako inaweza kumsumbua sana. Mchawi hawezi kukubia hela yako mfukoni kama umeihesabu, ama anaweza kuingia ndani kwako akakuchezea kama unavyosema lakini hawezi kuiba chochote hata senti moja ingawa of cause anaziona.

Uchawi una principals zake!! ambazo mchawi lazima azifuate na asipofanya hivyo basi kazi ya uchawi inakuwa haiwezi na uchawi wake unamgeukia yeye kumwadhibu. Dawa za kichawi lazima zipate nguvu mpya, kutoa kafara za ndugu wa damu kama mtoto wa kuzaa, baba ama mama mzazi ni muhimu ili ku-recharge dawa yake.

Kuacha uchawi pia si kazi rahisi, once your in there is no simple way out!! lazima atoe kafara nyingi na kuyaua mauchawi yake yote ili yasimgeuke, sababu once yakijua anataka kuya-dump nayo yanaanza kujihami inakuwa vita takatifu.
Hiyo vita ni hatare
 
mitale na midimu kuna watu ni wagonjwa wa akili (psychopath) hawa furaha yao ni pale mwingine anapopata maumivu, mifadhaiko au fedheha hii huwapelekea wao kupata furaha/au aina fulani ya kutosheka (satisfaction).

Hivyo naamini wachawi walio wengi wanadondokea kwenye kundi la wagonjwa hawa au wanakulia mazingira yanayowafanya wawe wahanga wa tatizo hili la kisaikolojia.
 
kweli mkuu, ndio maana Wachawi (Wanga kwa definition ya MziziMkavu ) tunao wengi tu mitaani.
Wivu ni janga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom