Sababu za wachawi kuwachanja watu chale usiku

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,742
Reaction score
25,678
Mchawi au wachawi pindi linapoingia giza hulitumia ipasavyo katika kuratibu na kupanga harakati zao ovu ikiwa ni katika hali ya kusumbua wanadamu washindwe kufikia malengo yao.

Miongoni mwa hila hizo ni pamoja na kuchanja chale watu. Mbinu hii hutumiwa na wachawi wengi kwa sababu kama zilivyoelezewa hapo chini na Dokta Bingwa PANGA LA SHABA kiboko ya wachawi na majini:

1. KUSOMA NYOTA ZA WAHUSIKA :
Historia ya maisha ya kila mtu huwa imeandikwa kwenye damu yake . Kwa kutumia maarifa ya juu kabisa ya kichawi, wachawi wanaweza kusoma historia nzima ya maisha ya mtu kwa kutumia damu yake.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba katika ulimwengu wa rohoni damu ya mtu ni kama ubao ama kitabu ambacho kimeandiwa story nzima ya maisha ya mtu huyo. Hivyo basi wachawi wanavyomchanja mtu chale, hufanya hivyo kwa lengo la kuapta damu ambayo wataitumia kusoma nyota ya mhusika.

2. KUIBA NYOTA :
Hii ni sababu nyingine kwanini wachawi huwachanja watu usiku wakiwa wamelala. Hufanya hivyo kwa lengo la kuiba nyota zao baada ya kusoma nyota ya mhusika kupitia damu yake na kuona inafaa kuchukuliwa kwa matumizi mbalimbali kama vile biashara, mali n.k.

3. KUPIMA KINGA YA MTU :
Kama nilivyo eleza hapo juu kuwa ndani ya damu ya mtu ndipo kumefichwa kila kitu kuhusu mtu huyo. Kila siri inayomuhusu mwanadamu, hivyo basi wachawi wanapotaka kumpima mtu fulani ana kinga kubwa kiasi gani, hufanya hivyo kwa kusoma damu yake au vitu vya mtu huyo ambavyo vimetokana na msukumo wa damu kama vile manii.

Kumbuka kwamba kinga yeyote ile ya mtu huwa inakaa kwenye damu yake. Dawa anazochanjwa mtu kwa ajili ya kinga, dawa anazo kula ama kunywa mtu kwa ajili ya kinga, huwa zinaenda kukaa kwenye damu yake. Sasa basi katika uchawi njia ya juu kabisa ya kujua kinga ya mtu ikoje ni kusoma damu yake.

4. KUFUGIA MAJINI WACHAFU :
Wachawi wanaweza kuutumia mwili wa mtu kama banda la kufugia majini wachafu ambao watakuwa wanawachukuwa kuwatumia kila watakapo wahitaji, majini hao wachafu wanaweza kukaribishwa kwenye mwili wa mtu kupitia chale hizo za kichawi. Chale hizo hutumika kama Antenna za kuwavuta majini wachafu ndani ya mwili wa mtu waliemkusudia.

5. KUMPA MTU NUKSI NA MIKOSI :
Kama nilivyosema hapo awali kuwa historia ya maisha ya kila mtu huandikwa kwenye damu yake. Kuna kanuni moja kubwa sana katika ulimwengu wa rohoni ambayo inasema Hii ni kwa sababu damu ndio nishati inayo endesha maisha ya mtu. Nishati hii ndio inayo amua kila kitu katika maisha ya mwanadamu.
 
Duuh;?!?
 
Naamini kwa sababu nilkuwa naumwa nikaenda kwa mganga akanichanja chale akapaka dawa baada ya sku 3 nikapona
 
Ume copy kwa Mungu wa Kabili. Hovyo sana wewe.
 
Namba tano ya kumpa mtu mikosi na nuksi nimeilewa sana.Kuna vitu ukivizungumza vya kishirikina watu hawawezi kuamini kwa vile havijawahi kuwatokea.

Nakumbuka kipindi nikiwa form one huko Mwanza nilikuwa nimelala kitanda kimoja na rafiki yangu mmoja .Asubuhi aliamka amechanjwa chale sehemu kubwa ya mwili wake na kupakwa vitu Kama asali na dawa nyekundu.Alichanjwa na kupakwa dawa kifuani,mgongoni,kichwani na mikononi.Alivyoamka alishangaa sana.Baada ya wiki kadhaa mbele jamaa aliacha shule.

Sio mda mrefu nilihama shule nikaenda kusoma mkoa mwingine wa mbali.Nikawa sipati habari zake, nimekuja kurudi kitaa kama miaka mitano mbele nikakuta jamaa akili zimeruka kwa kiasi fulani.Ameoa na ana mtoto lakini ukikaa nae kabisa unaona jamaa Kuna sehemu akili haziko sawa.Hata hapo kitaa mshikaji amekuwa kama ana nuksi fulani wengine watakwambia jamaa mwizi,wengine watakwambia mchonganishi na mengine mengi.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa. Damu ya mtu ndio yenye kubeba uhai wake. Inabeba nyota zake na kinga zake na hata baraka au nuksi zake
 
Namba tano ya kumpa mtu mikosi na nuksi nimeilewa sana.Kuna vitu ukivizungumza vya kishirikina watu hawawezi kuamini kwa vile havijawahi kuwatokea.

Nakumbuka kipindi nikiwa form one huko Mwanza nilikuwa nimelala kitanda kimoja na rafiki yangu mmoja .Asubuhi aliamka amechanjwa chale sehemu kubwa ya mwili wake na kupakwa vitu Kama asali na dawa nyekundu.Alichanjwa na kupakwa dawa kifuani,mgongoni,kichwani na mikononi.Alivyoamka alishangaa sana.Baada ya wiki kadhaa mbele jamaa aliacha shule.

Sio mda mrefu nilihama shule nikaenda kusoma mkoa mwingine wa mbali.Nikawa sipati habari zake, nimekuja kurudi kitaa kama miaka mitano mbele nikakuta jamaa akili zimeruka kwa kiasi fulani.Ameoa na ana mtoto lakini ukikaa nae kabisa unaona jamaa Kuna sehemu akili haziko sawa.Hata hapo kitaa mshikaji amekuwa kama ana nuksi fulani wengine watakwambia jamaa mwizi,wengine watakwambia mchonganishi na mengine mengi.
Ilikuwa mwaka juzi nilimhamisha mdogo wangu wa kike kwenda shule moja hivi ya private ambayo ni hatua chache tu kutoka kwa dada yangu ambaye alikuwa anaishi naye. Lengo ilikuwa ni kupunguza usumbufu wa kupanda daladala kila siku kwenda kwenye hiyo shule ya kata.

Tulikwenda mbali zaidi kwa kuchukua uamuzi kuwa akakae tu bording pamoja na kwamba ni karibu na nyumbani ili saingine awe anasoma prepo shuleni. Lakini kitu cha ajabu mapema mwaka jana dogo alianza kupatwa na mashetani, sijui majini hata sikuelewa kwani alikuwa anazimia au kuongea lugha za ajabu.

Alifanyiwa maombi lakini hali ile haikuisha kwa wakati, kitu kilichopelekea mzee kumpeleka kwa wataalam. Kumbuka hiyo ilikuwa form four na alitakiwa kuwa darasani ili baadae afanye mitihani ya mwisho, tulihangaika sana akapata nafuu kidogo akarudi shule very late.

Mungu saidia dogo alifanya mtihani wa mwisho na akapasua fresh, div 3 nzuri tu sayansi kafaulu vzr phy,chem,bio na math. Kwakuwa nilikuwa najua tatizo lake niliamua asiende five pamoja na kwamba alichaguliwa badala yake nikamuombea chuo cha afya akafanye tu CEO kwanza.

Sasa hivi navyoongea tatizo lake limeanza tena, aroo jamani maisha ni changamoto asikuambie mtu.
 
Ok
Mchawi au wachawi pindi linapoingia giza hulitumia ipasavyo katika kuratibu na kupanga harakati zao ovu ikiwa ni katika hali ya kusumbua wanadamu washindwe kufikia malengo yao.

Miongoni mwa hila hizo ni pamoja na kuchanja chale watu. Mbinu hii hutumiwa na wachawi wengi kwa sababu kama zilivyoelezewa hapo chini na Dokta Bingwa PANGA LA SHABA kiboko ya wachawi na majini:

1. KUSOMA NYOTA ZA WAHUSIKA :
Historia ya maisha ya kila mtu huwa imeandikwa kwenye damu yake . Kwa kutumia maarifa ya juu kabisa ya kichawi, wachawi wanaweza kusoma historia nzima ya maisha ya mtu kwa kutumia damu yake.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba katika ulimwengu wa rohoni damu ya mtu ni kama ubao ama kitabu ambacho kimeandiwa story nzima ya maisha ya mtu huyo. Hivyo basi wachawi wanavyomchanja mtu chale, hufanya hivyo kwa lengo la kuapta damu ambayo wataitumia kusoma nyota ya mhusika.

2. KUIBA NYOTA :
Hii ni sababu nyingine kwanini wachawi huwachanja watu usiku wakiwa wamelala. Hufanya hivyo kwa lengo la kuiba nyota zao baada ya kusoma nyota ya mhusika kupitia damu yake na kuona inafaa kuchukuliwa kwa matumizi mbalimbali kama vile biashara, mali n.k.

3. KUPIMA KINGA YA MTU :
Kama nilivyo eleza hapo juu kuwa ndani ya damu ya mtu ndipo kumefichwa kila kitu kuhusu mtu huyo. Kila siri inayomuhusu mwanadamu, hivyo basi wachawi wanapotaka kumpima mtu fulani ana kinga kubwa kiasi gani, hufanya hivyo kwa kusoma damu yake au vitu vya mtu huyo ambavyo vimetokana na msukumo wa damu kama vile manii.

Kumbuka kwamba kinga yeyote ile ya mtu huwa inakaa kwenye damu yake. Dawa anazochanjwa mtu kwa ajili ya kinga, dawa anazo kula ama kunywa mtu kwa ajili ya kinga, huwa zinaenda kukaa kwenye damu yake. Sasa basi katika uchawi njia ya juu kabisa ya kujua kinga ya mtu ikoje ni kusoma damu yake.

4. KUFUGIA MAJINI WACHAFU :
Wachawi wanaweza kuutumia mwili wa mtu kama banda la kufugia majini wachafu ambao watakuwa wanawachukuwa kuwatumia kila watakapo wahitaji, majini hao wachafu wanaweza kukaribishwa kwenye mwili wa mtu kupitia chale hizo za kichawi. Chale hizo hutumika kama Antenna za kuwavuta majini wachafu ndani ya mwili wa mtu waliemkusudia.

5. KUMPA MTU NUKSI NA MIKOSI :
Kama nilivyosema hapo awali kuwa historia ya maisha ya kila mtu huandikwa kwenye damu yake. Kuna kanuni moja kubwa sana katika ulimwengu wa rohoni ambayo inasema Hii ni kwa sababu damu ndio nishati inayo endesha maisha ya mtu. Nishati hii ndio inayo amua kila kitu katika maisha ya mwanadamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom