Wachawi/wanga huwa wanapata faida gani kusumbua watu...

Ni sayansi ya asili inabidi tu waifanyie majaribio kama hayo
sayansi yoyote ile lazima iwe na prove. Hii ya hawa jamaa haina prove yoyote na ni ngumu mno kutumika kama ushahidi 'cause its invisible.

Kwa sababu ni invisible basi kuikubali ama kuikataa kama upo ama haupo inabakia kuwa ni imani ya mtu mwenyewe. in simple way uchawi ni kiinimacho kama zile enzi za Mazingaombwe, mtu anachinjwa midamu kibao anakufa - then mnaona ni mzima wa afya.
 
umeanza vizuri ila unapomalizia ndio utata, uchawi upo.
mfano mtu kutembea usiku ndani na ukiwasha taa hakuna kitu, hiyo ni kiini macho au kiini masikio mkuu
 
Sasa hapo ni wewe mwenyewe kuamini kama uchawi upo ama laa; how are you going to prove kwamba mtu kaingia kwako? wakati mlango mkubwa na ule wa chumbani haujavunjwa? madirisha yote yamefungwa?

Kitu chochote ambacho huwezi ku-prove then hicho kinaangukia kwenye imagination. Sasa msimamo wangu kwamba uchawi upo ama haupo hautakusaidia kitu sababu mimi siwezi kuprove ili wewe uamini though naweza kufika hapo ulipo sasa hivi bila wewe kuniona.
 
sayansi yoyote ile lazima iwe na prove. Hii ya hawa jamaa haina prove yoyote na ni ngumu mno kutumika kama ushahidi 'cause its invisible.

Kwa sababu ni invisible basi kuikubali ama kuikataa kama upo ama haupo inabakia kuwa ni imani ya mtu mwenyewe. in simple way uchawi ni kiinimacho kama zile enzi za Mazingaombwe, mtu anachinjwa midamu kibao anakufa - then mnaona ni mzima wa afya.
Jana tu kwenye taarifa ya habari kupitia ITV,walimuonesha jamaa akifanya mbinu zake za kufukua wafu bila kuchimba kaburi,alisema anaweza fukua wafu hadi 30 kwa lisaa. Sasa hiyo sio prove kweli?
 
Sasa hapo ni wewe mwenyewe kuamini kama uchawi upo ama laa; how are you going to prove kwamba mtu kaingia kwako? wakati mlango mkubwa na ule wa chumbani haujavunjwa? madirisha yote yamefungwa?

Kitu chochote ambacho huwezi ku-prove then hicho kinaangukia kwenye imagination. Sasa msimamo wangu kwamba uchawi upo ama haupo hautakusaidia kitu sababu mimi siwezi kuprove ili wewe uamini.
Kitu chochote ambacho huwezi ku-prove then hicho kinaangukia kwenye imagination.
duu!! yawezekana wakati mwingine kitu kushindwa kuwa proven ni matokeo ya kutokuwepo vifaa competent kuprove hilo suala.
Mfano, swaziland wachawi hawaruhusiwi kupaa zaidi ya mita 150 zaidi ya hapo ni faini na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Nadhani Uchawi usingekuwa illegal kuna mengi yangethibitishwa...
Science ina Limitation nyingi sana mkuu.
 
Jana tu kwenye taarifa ya habari kupitia ITV,walimuonesha jamaa akifanya mbinu zake za kufukua wafu bila kuchimba kaburi,alisema anaweza fukua wafu hadi 30 kwa lisaa. Sasa hiyo sio prove kweli?
Huyo atakuwa alitumwa na Lucifer hizo roho za watu - kuna kipindi huwa zinahitajika huko kuzimu, sasa ukishapewa kazi hiyo lazima uifanye vingineyo makubwa yanakukuta kulingana na kiapo ulichoapa. Uwezo wa kuchimbua bila jembe huo anakuwa kashakupatia tayari.

Hapo pia huchimbui randomly hapana, kuna roho zingine hazihitajiki kabisa hata kule kuzimu (Reject). kunakuwa na namna ya ku-pinpoint.
 
KUZIMU NI WAPI MKUU.
duniani,Mbinguni,Hewani au wapi...
Location...
 
Kitu chochote ambacho huwezi ku-prove then hicho kinaangukia kwenye imagination.
duu!! yawezekana wakati mwingine kitu kushindwa kuwa proven ni matokeo ya kutokuwepo vifaa competent kuprove hilo suala.
Mfano, swaziland wachawi hawaruhusiwi kupaa zaidi ya mita 150 zaidi ya hapo ni faini na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Nadhani Uchawi usingekuwa illegal kuna mengi yangethibitishwa...
Science ina Limitation nyingi sana mkuu.

Hakuna mtu ama serikali iliyowahi kuzuia uchawi hapa duniani eitehr kwa kauli ama vitendo. kinachotokea ni kuzidiana nguvu za dawa, ukitaka kumchawia mwenzako hakikisha dawa zako zina uwezo huo vinginevyo basi subiri aibu ikukute kukishapambazuka.

Kwa mfano kama unataka kusafiri sasa hivi kwenda Mombassa lets say, fanya hivyo as long as popote ukakapopita - iwe angani kwa ungo ama ardhini kwa fisi - hakikisha hakuna dawa itakayokuzidia all over mpaka ufike huko na kurudi, otherwise utaokotwa umeporomoka na vidawa vyako.
 
Sheria ya kudhibiti uchawi (Witchcraft Supression Act) TANZANIA TUNATAMBUA UCHAWI UPO...
kama ukithibitika kuwa wewe ni mchawi, Mkuu wa wilaya,Mkuu wa mkoa au Rais anaweza kukuamuru uende uhamishoni
 
KUZIMU NI WAPI MKUU.
duniani,Mbinguni,Hewani au wapi...
Location...
you cant see in real eyes even if i show you, something i can't prove it either !! unatakiwa ubadilishwe kimwili na kiroho ili uweze kupata access ya kufika huko. all in all you need to accept some creation rules!! kwa nini wewe ni mwanadamu na umepewa nguvu zipi na Muumba -- things like that...

Malango ya kuzimu pia yapo mengi, kila moja na access rules zake - so its not as simple as you think.
 
Sheria ya kudhibiti uchawi (Witchcraft Supression Act) TANZANIA TUNATAMBUA UCHAWI UPO...
kama ukithibitika kuwa wewe ni mchawi, Mkuu wa wilaya,Mkuu wa mkoa au Rais anaweza kukuamuru uende uhamishoni
how are they going to prove, watakachofanya ni kuwatumia wanakijiji kunituhumu tu bila ushahidi wowote ule, hata wakinipeleka mahakamani nitawashinda day one.
 
you cant see in real eyes even if i show you, i cant either prove to you !! unatakiwa ubadilishwe kimwili na kiroho pia ili uweze kupata access ya kufika huko. all in all you need to accept some creation rules!! kwa nini wewe ni mwanadamu na umepewa nguvu zipi na Muumba -- things like that...

Its not as simple as you think.
Kuzimu huwa nasikia lakini, naona kama ni stori za kutishana hazina base yoyote mkuu kama maelezo yako yanavyothibitisha. Ila ni maoni mkuu.
Disregard..
 
Stori za kichawi nyingi huwa ni kuonyesha wakipiga mikwara bila kuchukua hatua...

mfano:
Mtu kalala usiku eti mchawi anatembea juu ya bati ila haingii ndani...
sasa anapata faida gani...

Mtu umelala kitandani unajikuta uko juu ya bati, au uvunguni kisa wachawi wamefanya yao..
anafaidika nini...

Unaamka asubuhi unakuta umechanjwa chale badala ya kuuliwa kabisa kama ndio ilikuwa nia.
Sasa maana yake ni nini...

Wengine unasikia mtu anatembea ndani ukiwasha taa haoekani...
sasa anatembea ili iweje...

Wachawi wanamambo ya ajabu sana...
Utofautishe kati ya Mchawi na Mwanga.Mchawi ni yule anaye kuja kwako iwe usiku au mchana kukudhuru na Mwanga ni yule anaye kuja kukuchezea wewe usiku wakati umelala. Kati ya mchawi na mwanga Mchawi mbaya zaidi kuliko mwanga.
 
Utofautishe kati ya Mchawi na Mwanga.Mchawi ni yule anaye kuja kukudhuru na Mwanga ni yule anaye kuja kukuchezea wewe usiku wakati umelala. Kati ya mchawi na mwanga Mchawi mbaya zaidi kuliko mwanga.
Asante mkuu,
Hapa kwa elimu uliyotoa, Mwanga ndie muhusika mkuu.
Mwanga ananufaika vipi na huo usumbufu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom