Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
@Rutashubanyuma Suluhisho la hapo ni kupelekwa kwenye chombo cha Serikali Mahakamani kisha kwenda jela.hii kweli inatisha na suluhisho ni nini hapo?
Ipeleke kwa fundi ..Jaman mbona kwangu haijafunguka!!!!
Sijui hili pc lishakuwa kimeo!!!!!!!!1
Suluhisho ni kuchomwa moto tu....!!!hii kweli inatisha na suluhisho ni nini hapo?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya freemasons na wachawi wa vipapai yani wachawi wa bongo tjou wote wanamuabudu shetani.. Usidhani freemasons kama Jigga au Bush wanaojitangaza wao wenyewe nao wanapanda ungo kama hao washenzi. Sembuse bngo nzima haman freemasom member hata mmoja cause Freemasons are damn racists, hapa States freemasons ni wengi sana na wengine wanasadiki Jigga sio mmoja wao coz ni mweusi anajiita tu yeye mwenyewe kwa manufaa yake binafsi so kama Jigga sio masonic hao mwatumbi ndo hata kwa dawa hawawezi kua masonic.. JUA KUNA TOFAUTI KATI YA FREEMASONS NA UCHAWI WA KIBONGO ILA SIWATETEI FREEMASONS.
Mkuu Bufa ni kweli kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Freemason na wachawi. Hao kwenye hiyo video sio Freemason na mkuu MziziMkavu amekosea title ya thread yake. Bufa, sio kweli kwamba ukiwa mweusi huwezi kuwa Freemason. Na ingekuwa hivyo, Freemasons wasingekuwa na Lodge zao Africa. Kwa mfano tu, Lodge za Freemasons ambazo zipo Tanzania ni zifuatazo :
- 9532 - Installed Master's Lodge of Tanzania, FM Hall, Dar es salaam
- 5299 - Guiding Star Lodge, FM Hall, Dar es salaam
- 5095 - Dar es salaam Lodge, FM Hall, Dar es salaam
- 9794 - Lodge East Africa, FM Hall, Moshi
- 7504 - Mount Meru Lodge, FM Hall, Arusha
- 7485 - Mwanza Lodge, FM Hall, Mwanza
- 5111 - Kilimanjaro Lodge, FM Hall, Moshi
- 4850 - Tanga Fraternity Lodge, FM Hall, Tanga
- 4385 - Heaven of Peace Lodge, FM Hall, Dar es salaam
:coffee:
Well! Mkuu mamabo ya freemasons hatuwezi ya jua sana kiundani since we ain't members inawezekana weusi wapo au hawapo pia, kuwa na lodges za fm africa doesn't mean kwamba there are some african folks in fm group, labda zinamilikiwa na wazungu na pia hamna mwenye uhakika wa hizo lodges. In short haya mambo ni yakuongelewa tu huwa hayana facts za uhakika hata siku moja that's why sipendi kuyazungumzia na kuyaamini sana pia.
"Usilolijua ni kama usiku wa giza"
Usiseme hayana facts kwa kuwa ama hupendi kuyazungumzia au kuyaamini...kimsingi ni kwamba huyajui kabisa.
Kuna wakati mwanafizikia wa karne Albert Einstein ashawahi kutamka, "Kama hauwezi kulidadavua jambo kwa namna iliyo rahisi, basi tambua ya kwamba hilo jambo hulielewi ipasavyo".
Fredrick Ishengoma Angalia hao Ma Free Mason ni Wachawi wakubwa duniani.Mkuu Bufa ni kweli kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Freemason na wachawi. Hao kwenye hiyo video sio Freemason na mkuu MziziMkavu amekosea title ya thread yake. Bufa, sio kweli kwamba ukiwa mweusi huwezi kuwa Freemason. Na ingekuwa hivyo, Freemasons wasingekuwa na Lodge zao Africa. Kwa mfano tu, Lodge za Freemasons ambazo zipo Tanzania ni zifuatazo :
- 9532 - Installed Master's Lodge of Tanzania, FM Hall, Dar es salaam
- 5299 - Guiding Star Lodge, FM Hall, Dar es salaam
- 5095 - Dar es salaam Lodge, FM Hall, Dar es salaam
- 9794 - Lodge East Africa, FM Hall, Moshi
- 7504 - Mount Meru Lodge, FM Hall, Arusha
- 7485 - Mwanza Lodge, FM Hall, Mwanza
- 5111 - Kilimanjaro Lodge, FM Hall, Moshi
- 4850 - Tanga Fraternity Lodge, FM Hall, Tanga
- 4385 - Heaven of Peace Lodge, FM Hall, Dar es salaam
:coffee:
@Fredrick Ishengoma Angalia hao Ma Free Mason ni Wachawi wakubwa duniani.
@Rutashubanyuma @Buf @Preta @Cantalisia @FirstLady1 @Katavi @andate @flora msoffe @watu8 @gfsonwin @m_kishur