wachawi tukutane hapa

wachawi tukutane hapa

Mchawi anayefanya kazi yake kwa weledi hawezi fungua uzi au kueleza ishu zake hata kwa ID feki. Wachawi OG ndo viongozi makanisani na fungu la 10 wanatoa. Mimi nilishawahi kuona mchawi anatumia maji ya baraka kutoka kanisani RC kufanyia mambo yake ya kichawi kwa kuchanganya na dawa zake. Nilishangaa sana na kuyashusha thamani yanayoitwa maji ya baraka.

Hii mpya naiskia kwako
 
Kwenye ungo ninauwezo wa kuwapa lift at least maximum watu 4. Pia Nina connect ungo zaidi ya kumi nakufanya yawe kama bahewa ya treni. Hivyo idadi ya lift inaweza kufika mpaka watu 40
hiyo at least na maximum mkuu,
hoja yako hii ya kuunganisha kama behewa binafsi ni plan ambayo ninayo muda mrefu ila sijafaniiwa kupata mchawi wa kunipa huo ujuzi ili niwezeshe jambo ilo, yani kimsingi mimi nina ndoto ya kufuta bodaboda, bajaji, daladala, virikuu, maguta, malori na ndege.

Je ujuzi wako huo unahamishika? yani kwamba baada ya mwaka mmoja tanzania nzima tunatembelea Ungo au hata modified jamvi/mkeka tanzania nzima?
 
Ni rahisi Sana kuunganisha ungo na kupata form ya mabewa ya treni, unachotakiwa ni kuwa uzi mweusi wa kuunganisha Kila ungo na utachagua ungo mmoja uwe kama kichwa Cha treni utaifunga irizi yenye fuvu la paka kama engine. Ule usinga wenye manyoya ndio usukani, kile kibuyu ndio gia ina act kama break, forward and reverse.

Idea ya jamvi/mkeka ni usafiri wa baharini sisi wachawi tunautumia kama sehemu ya kufanya shughuli zetu za uvuvi wa samaki, hivo tunapakia misukule kwa kazi hiyo.

Karibu kwa ushauri zaidi
 
Wanatumia mafuta ya binadam huko
 
  • Thanks
Reactions: Lax

😂😂
 
Sasa hivi wachawi wanajiandaa kuingia kazini then wewe upo jf muda huu au unaandika Ukiwa kwenye ungo?
Then nnswali la kukuuliza pia
Kama unavyofahamu. Kila mchawi ana muda wake wakuingia kazini, Kuna wanaoingia saa 4 usiku mapema tu, Kuna wa saa 6, 7 , 8 na kuna sisi wachelewaji tunaingia saa 9 au alfajiri ya saa 10. Hivyo hakuna muda maalumu wa kuingia kazini. Labda useme kuhudhuria sherehe za kuwakaribisha wanachama wapya ndio Huwa Kuna specific time. Na ukichelewa Kuna adhabu.

Karibu
 
Kuna Binti mmoja alikuwa ananipenda sanaa kadhalika nilikuwa namkubari Sanaa. Kuna story ndefu hapa ilitokea lakini kipindi tunaanza kuhusiana niliwahi kukutana na mama yake na siku nakutana na mama yake niliona kitu kwenye macho yake na taarifa flani niliiona. Masiku yalisogea mengi nilianza kupata tabu sana na kuumwa story ni ndefu lakini baadae niliota yule Binti anaandaliwa kuja kuwa malkia wa uchawini na hawataki niwe nae Kwasababu ntawasumbua na kumtoa huko lakini mmoja katika watu wake ndy amepewa hio kazi ya kushughulika na Mimi tu. Nilivyoota hvy nkafanya maamuzi ya kuachana nae. Imepita miaka kama 5 nkajikita namkumbuka Sanaa na ghafla na mbaka moyo unaniuma sana then usiku nnamuota sanaaa. Na usiku wa kuamkia Leo nimemuota pia.
Swali langu kwako je hili linamaana yoyote kwenu huko uchawini.
 
Mimi niliwahi kunasa juu ya nyumba ya mzee mmoja nilikuwa nasafiri na ungo natokea Liwale lindi kwenda Misungwi Mwanza.
Kwenye ungo ninauwezo wa kuwapa lift at least maximum watu 4. Pia Nina connect ungo zaidi ya kumi nakufanya yawe kama bahewa ya treni. Hivyo idadi ya lift inaweza kufika mpaka watu 40
Vipi ulaya unaweza kwenda na ungo?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ni rahisi Sana kuunganisha ungo na kupata form ya mabewa ya treni, unachotakiwa ni kuwa uzi mweusi wa kuunganisha Kila ungo na utachagua ungo mmoja uwe kama kichwa Cha treni utaifunga irizi yenye fuvu la paka kama engine. Ule usinga wenye manyoya ndio usukani, kile kibuyu ndio gia ina act kama break, forward and reverse.

Idea ya jamvi/mkeka ni usafiri wa baharini sisi wachawi tunautumia kama sehemu ya kufanya shughuli zetu za uvuvi wa samaki, hivo tunapakia misukule kwa kazi hiyo.

Karibu kwa ushauri zaidi
ujuzi huo unahamishika? hili ni swali la msingi sana
 
Kwenda kumwaga damu ya kondoo kwa kuzunguka mduara njia panda saa 9 usiku nilitumwa na bibi na asubuhi tukakuta mlevi kafariki na damu haikuonekana Wala michirizi ya damu niliyomwaga🙏nashukuru nimeacha 2012 bibi alipofariki
Kwa nini afariki mlevi? Si afadhali ungelimnuia bi kiziwi.
 
Back
Top Bottom