Ungekuwa na hiyo hekima usingeandika udaku wa aina hii.Una matatizo ya akili wewe, unawezaje kujua wealth ya mtu ambaye hata humfahamu? Mimi sio fukara na kwetu ufukara hauna nafasi.
Hekima ni kutafakari kabla hujaandika.
Inayopingwa kila kona na serikaliWachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Una inferiority complex nenda kwa mama Hogan mapema kabla haijadevelop na kuwa ukiwaUngekuwa na hiyo hekima usingeandika udaku wa aina hii.
Eti mtu kafanya sherehe mtaani, halafu Wachagga ni wezi.
Sasa hapo umetafakari nini na busara yako ipo wapi?
Mtu kufanya sherehe ina logical sequence gani kwamba Wachagga ni wezi?
Kukujua kwamba wewe ni fukara sihitaji kukujua sura, bali maandishi tuu yanaashiria uduni ulio nao.
Una inferiority complex nenda kwa mama Hogan mapema kabla haijadevelop na kuwa ukiwa
Hii dhana ya mchagga mwizi ilianza enzi za ujamaa, baada ya Nyerere kuwabana kila upande lakini wakazidi kustawi ndio wakasema hawa jamaa wezi, ni uchapakazi sio wizi.Kwanza tuwekane sawa, WACHAGA si WEZI.....Kama ni wezi mtu aweke data hapa.
mkuu mchaga alishawahi kukuibia? ulimpeleka kwenye vyombo vya kisheria? nauliza hili swali kwa sababu kumekuwa na tuhuma nyingi hapa nchini kwamba wachaga ni wezi, lakini nchi hii ina mahakama na vyombo vingine vya kisheria nashangaa hao wezi hawapelekwi huko, TABIA SIYO YA KABILA BALI NI HULKA YA MTU, hamna kabila hapa nchini ambalo hamna wezi, nenda magerezani unipe takwimu za wafungwa wezi wa kichaga, nina uhakika haina tofauti na idadi ya wafungwa wezi wa makabila menine, HUU UBAGUZI NI WANINI?Moderator Naomba hapo tittle isomeke Wachagga wanaiba na kukopa sio kukosa. Asante
KAMA KUFANYA KAZI KWA BIDII NI WIZI SAWA.Ukimchunguza sana anatakuwa ana vina saba vyao
NA HUU NDIYO UHALISIA, TUNAJUA HAMNA WA KUTUBEBA KAMA MAKABILA MENGINE YANAVYOBEBWA. TUTAJIBEBA WENYEWE KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII, KUBEBWA KUNA MWISHO!Na ndo wanaoongoza kwa kuchangia mapato ya kodi tra kupanda
Mnajitapa Sana ndo maana yanawakuta haya.Hivi ikipita wiki bila WACHAGGA kusemwa humu JF kwani website ya www.jamiiforums.com haiwi sawa?
Wachagaa! Wachagga!
Atakua mhaya huyo mjinga. Ndio zao kupenda misifa isiyo na tija
Shida ya ukosefu wa ardhi kwao ndio imewapa akili sababu hawana kwa kukimbilia inabidi wachacharike.Nchi zote zenye uhaba wa ardhi watu huchacharika Sana mfano Ni jirani zetu Kenya.Makabila yenye ardhi na usalama wa chakula huwa hawachachariki Sana sababu wana uhakika wa kula na kulala hats Kama Hana hata shilingi Mia mfukoniWachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Ndiyo mkuuHivi Bakhresa naye ni Mchagga?
Wachaga wabahili mno Yuko tayari anywe pombe ya milioni Lakini akifika kuoza mtoto anapita kila nyumba kuomba mchango wa kuozesha usipotoa anakununia Hadi Basi.Tofauti Ni kuwamakabila mengine wanafanya sherehe kwa pesa zao wakati wachaga wanafanya sherehe kwa pesa za donors.Yaani Hadi anayeolewa anajisikia vibaya.Wachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Hao ni Wezi kumbeBasil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the few
Wee Endelea tu. Utanyanganywa hako kadem kako kakaree ubaki kulialia na kucommit suicide.
MESAGE SENT AND DELIVERED!Ukimaliza kulialia utanyamaza. Umesikia ehh