Wizard in bloodKwa anayefahamu naomba tufahamishane Marangu na kata na vijiji vyake na historia pia ikiwezekana.
Mkuu; Kwema? Unataka details zote hizo ili uzifanyie kazi gani broo?Kwa anayefahamu naomba tufahamishane Marangu na kata na vijiji vyake na historia pia ikiwezekana.
Mbona ni kawaida tu.Mkuu; Kwema? Unataka details zote hizo ili uzifanyie kazi gani broo?
Kwa jinsi ulivyoomba kwa msisitizo inaonekana kuna kitu unataka kufuatilia. Tuambie bhana kama ni dili tule sote.Mbona ni kawaida tu.
Hapo kwenye historia, huyo AI atachemka. Ngoja tuone.Mkuu tumia akili mnemba utapata jibu mara moja.